Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Asisitiza amani na utulivu kwenye uchaguzi

KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Shija Othmani amewahimiza wafuasi wa vyama mbalimbali na wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu kwenye kipindi hiki cha kumalizia kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na siku ya uchaguzi ili kufanikisha kazi hiyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Magufuli asisitiza amani na utulivu kwa mkoa wa Arusha

Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dokta John Magufuli ameonya kuwa kuendelea kwa vitendo vya vurugu mkoani Arusha huenda kukaharibu sifa ya mkoa huo ambao unaheshimika kitaifa na kimataifa.

Dokta Magufuli amesema heshima ya Mji huo imeifanya Tanzania kujulikana zaidi duniani kuwa nchi yenye amani na utulivu ingawa sasa vitendo vya vurugu mkoani humo vinahofiwa kuipoteza sifa hiyo.

Mbio za kuusaka urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM zimemfikisha Dokta John Magufuli katika...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunawatakia uchaguzi wa amani na utulivu

JUMAPILI ijayo, Watanzania watafanya uamuzi wa kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,

Mwandishi Wetu

 

9 years ago

Habarileo

JK asisitiza uchaguzi wa amani

TANZANIA imeendelea kusisitiza kuwa, Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge, Wawakilishi, Madiwani na Masheha unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu utafanyika kwa amani na utulivu ambapo Watanzania watakuwa na uhuru wa kupiga kura bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi

Na: Hassan Hamad, OMKR Waislamu mbali mbali wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo wamekusanyika katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar kwa ajili ya kuomba dua ya kuiombea […]

The post Dua ya kuiombea Zanzibar amani na utulivu katika kipindi cha uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Tupige kura, tupokee matokeo kwa amani na utulivu, kuna maisha baada ya uchaguzi

Keshokutwa, Tanzania inafanya Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge pamoja na kumpata rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 

9 years ago

Vijimambo

DUA YA KUIOMBEA NCHI AMANI NA UTULIVU KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO YAFANYIKA ZANZIBAR

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ADC Bw. Hamad Rashid Mohamed, baada ya kushiriki kwenye dua ya kuiombea nchi amani wakati wa uchaguzi, iliyofanyika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar.Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, akisoma dua kabla ya kuanza kisomo maalum cha kuiombea nchi amani, katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif...

 

11 years ago

Dewji Blog

Membe asema dini ndiko kwenye chimbuko la Amani na Utulivu, achangia kitabu kilichoandikwa na Mufti

1. Membe akizungumzana Dk. Salim huku Sumaye akiwazikiliza kwa makini2 - Copy

2. Membe akizungumzana Dk. Salim huku Sumaye akiwazikiliza kwa makini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Kamilius Membe, akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim, huku waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye (kulia) akifuatilia mazungumzo hayo kwa pembeni, wakati wakiwa kwenye hafla ya Baraza la Idd El Fitr, jana, Julai 29, 2014, kwenye Viwanja vya Kariamjee, Jijini Dar es Salaam.

3. Picha akiwasili kwenye viwanja vya Karimjee huku akisindikizwa na  Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Kassim

Mgeni rasmi kwenye Baraza la Eid ElFitr, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akiingia kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi wa Apex Group aomba wananchi kudumisha Amani na Utulivu katika Uchaguzi Mkuu utakao fanyika kesho nchini kote

Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex Group na Mwanaharakati,  Joseph Mhonda (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho nchini kote. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara Habari Maelezo, Vicent Tiganya (kushoto), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Makampuni hayo, Pipino Sudi na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Apex...

 

9 years ago

Vijimambo

MKUU WA MKOA WA DODOMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSISITIZA AMANI NA UTULIVU WAKATI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akifungua Mkutano wa viongozi wa dini mkoani Dodoma uliojadili masuala ya amani na utulivu wakati wa  uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.Picha na John Banda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma SACP David Misime akifafanua jinsi jeshi la polisi Dodoma lilivyojipanga kusimamia amani na utulivu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 25 mwaka huu kwenye kikao cha viongozi wa dini kilichoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma.
  Viongozi wa dini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani