Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto adhaniwa kupeleka bomu shuleni

Rais wa Marekani amemwita Mtoto aliyekuwa aliyeshikiliwa kwa muda na polisi kuhojiwa baada ya kupeleka shuleni saa aliyotengeneza

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Nawapongeza Basata kupeleka sanaa shuleni

AHLANWASAHLAN msomaji wa safu ya Busati popote pale ulipo. Wiki iliyopita nilipata mwaliko wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuhudhuria mkakati wa kuibua, kukuza  na kuendeleza vipaji vya sanaa...

 

9 years ago

Habarileo

Watakaoshindwa kupeleka watoto shuleni kukiona

SERIKALI imeonya kuwa itawachukulia hatua za kisheria wazazi na walezi watakaoshindwa kuwapeleka watoto shule na kusisitiza kila mtoto anapaswa kupewa haki ya kupata elimu itakayoanza kutolewa bure kuanzia Januari.

 

5 years ago

BBCSwahili

Video inayoonesha mtoto wa miaka 6 akikamatwa shuleni

Mtoto aliyekamatwa na polisi mwezi Septemba 2019,mjini Florida. Video ya tukio la kukamatwa kwake yaonekana Februari 25.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali kupeleka msaada Mulembo

HATIMAYE serikali imesikia kilio cha wanakijiji wa Bulembo, Tarafa ya Kamachumu, Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera na kuahidi kutoa msaada wa sh milioni 170 ili kunusuru wananchi waliopigwa na upepo...

 

11 years ago

BBCSwahili

IGAD kupeleka wanajeshi S. Kusini

Mataifa ya Afrika Mashariki yameidhinisha kupelekwa kikosi cha wanajeshi 5,500 nchini Sudan Kusini ili kumaliza mgogoro wa kisiasa ambao umekuwa ukiendelea kwa wiki kadhaa sasa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya kupeleka majeshi Sudan Kusini

Kamati ya usalama ya Kenya imependekeza kupelekwa kwa wanajeshi wa kudumisha amani nchini Sudan Kusini

 

11 years ago

Tanzania Daima

Airtel kupeleka waandishi wanne Old Trafford

KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imetangaza kuwapeleka waandishi wa habari za michezo wanne watakaopata uzoefu wa kuripoti moja kwa moja ‘live’ Ligi Kuu ya Uingereza na kupata nafasi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwinyi: Hatutaacha kupeleka walinda amani

Serikali imesema itaendelea kupeleka wanajeshi wake kulinda amani katika maeneo yenye migogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani