Watoto watumia uzazi wa mpango shuleni
BAADHI ya watoto wa kike wanaosoma katika shule mbalimbali za sekondari katika Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa wanakiri kutumia uzazi wa mpango wakihofia kukatiza masomo yao kwa kupata ujauzito wakiwa bado shuleni.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzVMgKPH5KfW2qNtgOPmGX90YsRKuio1Q7BYKMdgdXbNgAOAfZSOhOVYfFRWz8ziav6Rb8oVEof19TnECdhnjScB/1a1.jpg?width=650)
RAIS KIKWETE AZINDUA MPANGO MKAKATI WA KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI, WATOTO
11 years ago
Dewji Blog15 May
Rais Kikwete azindua mpango mkakati wa kuongeza kasi ya kupunguza Vifo vya Uzazi na vya Watoto leo
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akionesha jedwali la alama za ufuatiliaji wa utendaji wa huduma za afya ya mzazi na mtoto wakati wa uzinduzi wa Mpango Mkakati wa Kuongeza kasi ya kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na vifo vya watoto katika ukumbi wa mikutani wa kimataifa wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo. Pamoja naye ni Naibu Waziri wa Afya Dkt Kebwe Sthephen Kebwe.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi kitabu Bibi Halima Shariff, mmoja wa wadau wa afya kutoka...
10 years ago
Mwananchi23 Apr
Watumia zebaki hatarini kuharibu mbegu za uzazi
9 years ago
Habarileo05 Dec
Muuguzi ahimiza uzazi wa mpango
JAMII ya watu wenye ulemavu nchini, imeombwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango ili wawe na uwezo wa kujikimu katika maisha na kuondokana na dhana kuwa hawastahili kujiunga na huduma hizo.
10 years ago
BBCSwahili08 May
Njia ya uzazi wa mpango ya kipekee
9 years ago
Habarileo21 Oct
Wataka kipaumbele uzazi wa mpango
BAADHI ya wagombea ubunge mkoani Singida wameiomba serikali ijayo kutoa kipaumbele kwenye suala la uzazi wa mpango nchini. Wagombea ubunge wa majimbo ya Singida Mjini, Ikungi Magharibi na Mkalama walitoa mwito huo kwenye mahojiano maalumu yaliyoandaliwa na Muungano wa Klabu za Wanahabari Nchini (UTPC) chini ya Mradi wa Mama Ye unaohimiza matumizi ya njia za Uzazi wa Mpango.
11 years ago
Habarileo14 Jun
Wanaume waaswa kufuata uzazi wa mpango
WANAUME wametakiwa kufuata uzazi wa mpango kwa ajili ya kuimarisha familia zao na kupambana na hali ngumu ya maisha.
10 years ago
Habarileo07 Aug
Kampeni uzazi wa mpango zahamia baa
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika sekta ya afya, wanatarajia kuendesha kampeni ya uhamasishaji wa uzazi wa mpango kwa jamii katika maeneo ya mabaa na vilabu vya pombe mkoani Kigoma.
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Dosari za kutumia uzazi wa mpango wa dharura