Muuguzi ahimiza uzazi wa mpango
JAMII ya watu wenye ulemavu nchini, imeombwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango ili wawe na uwezo wa kujikimu katika maisha na kuondokana na dhana kuwa hawastahili kujiunga na huduma hizo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo21 Oct
Wataka kipaumbele uzazi wa mpango
BAADHI ya wagombea ubunge mkoani Singida wameiomba serikali ijayo kutoa kipaumbele kwenye suala la uzazi wa mpango nchini. Wagombea ubunge wa majimbo ya Singida Mjini, Ikungi Magharibi na Mkalama walitoa mwito huo kwenye mahojiano maalumu yaliyoandaliwa na Muungano wa Klabu za Wanahabari Nchini (UTPC) chini ya Mradi wa Mama Ye unaohimiza matumizi ya njia za Uzazi wa Mpango.
10 years ago
BBCSwahili08 May
Njia ya uzazi wa mpango ya kipekee
11 years ago
Habarileo23 May
Huduma za uzazi wa mpango zatengewa bil.3/-
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetenga kiasi cha Sh bilioni 3 katika bajeti ya fedha ya mwaka 2014/15 kwa ajili ya huduma za uzazi wa mpango.
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
700 wapatiwa elimu ya uzazi wa mpango
JUMLA ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 waliokatisha masomo katika shule za msingi na sekondari wilayani Kahama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kubeba mimba wamejitokeza...
10 years ago
Habarileo15 Dec
Ukosefu wa dawa waathiri uzazi wa mpango
UKOSEFU wa dawa na uchache wa watoa huduma katika suala la uzazi wa mpango inaelezwa kuwa ni sababu kubwa ya Watanzania wengi hasa wa vijijini kushindwa kutumia njia za uzazi wa mpango.
10 years ago
Mwananchi25 Sep
Dosari za kutumia uzazi wa mpango wa dharura
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
'Dawa' ya mpango wa uzazi kwa wanaume
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Njia ya uzazi wa mpango hatari India
10 years ago
Habarileo07 Aug
Kampeni uzazi wa mpango zahamia baa
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika sekta ya afya, wanatarajia kuendesha kampeni ya uhamasishaji wa uzazi wa mpango kwa jamii katika maeneo ya mabaa na vilabu vya pombe mkoani Kigoma.