Udhalilishaji kingono wadaiwa kushamiri shuleni
ZAIDI ya asilimia 80 ya vijana nchini wenye umri kati ya miaka 13 hadi 24 wameripotiwa kunyanyaswa kingono, kudhalilishwa kihisia na kujeruhiwa walipokuwa watoto chini ya umri wa miaka 18 huku matukio hayo yakishamiri zaidi sehemu za shule na kuathiri uwezo wa watoto kielimu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Watoto wadaiwa kuibwa shuleni
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Majangili kushamiri ni uzembe wa Serikali
9 years ago
Dewji Blog12 Oct
Ubadhirifu kikwazo cha Ushirika kushamiri
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida na Mkurugenzi Msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) Tanzania, (Ushauri na Miradi), Amon Manyama wakipitia makabrasha ya mafunzo ya siku moja juu ya Uimarishaji wa Ushirika wa Akiba na Mikopo kwa Viongozi wa Vyama vya Ushirika (SACCOS na VICOBA) na Maafisa Ushirika wa kutoka Wilaya za Bunda, Bukoba na Sengerema yaliyoandaliwa na ESRF na kufadhiliwa na Shirika la Maendeleo (UNDP)...
11 years ago
Tanzania Daima26 Apr
Ikulu inahusika kushamiri dawa za kulevya
BARAZA la Vijana wa CHADEMA (Bavicha) limemtaka Rais Jakaya Kikwete kuacha kulalamika kuhusu dawa za kulevya zinazopitishwa kwenye viwanja vya ndege kwa kuwa ameshindwa kushughulikia majina ya wafanyabiashara hiyo aliyowahi...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cUcqGQlrUXU/XnhUSXN4mbI/AAAAAAALkwk/dFRz1IjmGx0Zh6ZfGxSWWiQOFhxtLVh1ACLcBGAsYHQ/s72-c/3170ebfa-77ab-4957-aa93-33f5b12aba8e.jpg)
VIJANA WANAOVUTA GUNDI WAZIDI KUSHAMIRI DODOMA, WANANCHI WAFUNGUKA
Charles James, Michuzi Globu
PAMOJA na Jiji la Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi lakini bado idadi ya vijana wanaotumia dawa za kulevya aina ya gundi imezidi kuwa tatizo kwa wananchi wa jiji hilo.
Vijana hao wamekua wakishinda na kuzagaa katikati ya Jiji maeneo ya viwanja vya Nyerere ambapo wamekua wakicheza kamari, kusumbua wananchi wanaopita, wanafunzi na zaidi wakivuta gundi hadharani.
Globu ya Jamii imefanya uchunguzi wake na kugundua kuwa umri wa vijana hao ni kuanzia miaka tisa hadi 21 na...
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Unyanyasaji wa Kingono marufuku:UN
10 years ago
Vijimambo02 Jan
WAGONJWA WANYANYASWA KINGONO UK
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/26/141226145715_hospital_640x360_pa_nocredit.jpg)
Mlipuko wa kisiri wa unyanyasaji wa kingono katika hospitali za Uingereza umegunduliwa huku takwimu mpya zikionyesha zaidi ya mashambulizi 1600 yaliripotiwa kwa polisi katika kipindi cha miaka mitatu iliopita.
Kumbukumbu zilizopatikana na gazeti la The Guardian chini ya sheria ya uhuru wa habari zinaonyesha ongezeko la asilimia 50 ya ripoti za unyanyasaji wa kingono kwa kutumia nguvu katika hospitali tangu mwaka...
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Wagonjwa wanyanyaswa kingono UK
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mke amkimbia mume kingono