Wagonjwa wanyanyaswa kingono UK
Mlipuko wa kisiri wa unyanyasaji wa kingono katika hospitali za Uingereza umegunduliwa
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo02 Jan
WAGONJWA WANYANYASWA KINGONO UK
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/12/26/141226145715_hospital_640x360_pa_nocredit.jpg)
Mlipuko wa kisiri wa unyanyasaji wa kingono katika hospitali za Uingereza umegunduliwa huku takwimu mpya zikionyesha zaidi ya mashambulizi 1600 yaliripotiwa kwa polisi katika kipindi cha miaka mitatu iliopita.
Kumbukumbu zilizopatikana na gazeti la The Guardian chini ya sheria ya uhuru wa habari zinaonyesha ongezeko la asilimia 50 ya ripoti za unyanyasaji wa kingono kwa kutumia nguvu katika hospitali tangu mwaka...
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Watoto wanyanyaswa kijinsia Pakistan
Kashfa za unyanyasaji na dhulma za kingono dhidi ya watoto zakithiri Pakistan.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Unyanyasaji wa Kingono marufuku:UN
Ripoti ya umoja wa mataifa inasema askari waliopo katika maeneo ya kulinda amani watakaojihusisha na vitendo vya unyanyasaji wa kingono watachukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwaondoa katika maeneo hayo
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Sheria yawalinda wanafunzi kingono US
Jimbo la Carlifonia nchini Marekani limewahamisha wanafunzi kwamba lazima waridhie wenyewe kabla ya kujihusisha na ngono.
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mke amkimbia mume kingono
Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo kwa mumewe.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Udhalilishaji kingono wadaiwa kushamiri shuleni
ZAIDI ya asilimia 80 ya vijana nchini wenye umri kati ya miaka 13 hadi 24 wameripotiwa kunyanyaswa kingono, kudhalilishwa kihisia na kujeruhiwa walipokuwa watoto chini ya umri wa miaka 18 huku matukio hayo yakishamiri zaidi sehemu za shule na kuathiri uwezo wa watoto kielimu.
11 years ago
Mwananchi22 Feb
TAMH: Walemavu wa akili wanadhalilishwa kingono
>Ingawa kuna usemi kuwa binadamu wote ni sawa, na kwamba wana haki ya kuheshimiwa, kupendwa na hata kulindwa, imebainika kuwa watu wenye ulemavu wa akili wanakosa haki hizo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mzS9AnYWemTWt13hZeAgJRVDkQpr8DTHUXzzHhvpxk0sYlK9n8e9CmhAdRHtjVgEC6QimfvtPtWnyEU9nmGUHDX/Leleti.jpg?width=650)
SARAFINA AWAFUNDA MASTAA WANAOTUMIKA KINGONO
Staa mwenye jina kubwa duniani kutoka Sauzi, Leleti Khumalo ‘Sarafina’. Imelda Mtema, Zanzibar

Staa mwenye jina kubwa duniani kutoka Sauzi, Leleti Khumalo ‘Sarafina’ amewafunda mastaa wa kike kwa kuwataka wajitume ili kujiletea maendeleo kwa kuwa muda wa kutumiwa kingono na wanaume umepita. Akizungumza na Ijumaa mjini hapa akiwa mmoja wa wasanii waliohudhuria Tamasha la Ziff, Sarafina aliseme...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bGawF3RRkacO2iYUH6ePGHAuQEgPl*SLXK*JJBHKXt6OXuNA24mMeIXkNOE5htzLrs2LR9KixGclXikTnWBkCUUvkm04jk7v/Lungi.jpg?width=650)
LUNGI AFUNGUKA MGOMBEA ANAVYOMSUMBUA KINGONO
Hamida Hassan Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga amefunguka kuwa, kuna mmoja wa wagombea udiwani katika Jimbo la Kinondoni jijini Dar, (jina linahifadhi kwa sasa) amekuwa akimsumbua kila siku akitaka ampe penzi. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Lungi alisema mwanasiasa huyo amekuwa na tabia ya kuwarubuni mastaa wa kike na hivi karibuni alishangaa akimpigia simu na kumtaka wakutane. Â ....Soma...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania