Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Unyanyasaji wa Kingono marufuku:UN

Ripoti ya umoja wa mataifa inasema askari waliopo katika maeneo ya kulinda amani watakaojihusisha na vitendo vya unyanyasaji wa kingono watachukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwaondoa katika maeneo hayo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WAGONJWA WANYANYASWA KINGONO UK


Wagonjwa wadaiwa kunyanyaswa kingono katika hospitali za Uingereza.
Mlipuko wa kisiri wa unyanyasaji wa kingono katika hospitali za Uingereza umegunduliwa huku takwimu mpya zikionyesha zaidi ya mashambulizi 1600 yaliripotiwa kwa polisi katika kipindi cha miaka mitatu iliopita.
Kumbukumbu zilizopatikana na gazeti la The Guardian chini ya sheria ya uhuru wa habari zinaonyesha ongezeko la asilimia 50 ya ripoti za unyanyasaji wa kingono kwa kutumia nguvu katika hospitali tangu mwaka...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wagonjwa wanyanyaswa kingono UK

Mlipuko wa kisiri wa unyanyasaji wa kingono katika hospitali za Uingereza umegunduliwa

 

10 years ago

BBCSwahili

Mke amkimbia mume kingono

Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo kwa mumewe.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria yawalinda wanafunzi kingono US

Jimbo la Carlifonia nchini Marekani limewahamisha wanafunzi kwamba lazima waridhie wenyewe kabla ya kujihusisha na ngono.

 

11 years ago

Mwananchi

TAMH: Walemavu wa akili wanadhalilishwa kingono

>Ingawa kuna usemi kuwa binadamu wote ni sawa, na kwamba wana haki ya kuheshimiwa, kupendwa na hata kulindwa, imebainika kuwa watu wenye ulemavu wa akili wanakosa haki hizo.

 

11 years ago

Habarileo

Udhalilishaji kingono wadaiwa kushamiri shuleni

ZAIDI ya asilimia 80 ya vijana nchini wenye umri kati ya miaka 13 hadi 24 wameripotiwa kunyanyaswa kingono, kudhalilishwa kihisia na kujeruhiwa walipokuwa watoto chini ya umri wa miaka 18 huku matukio hayo yakishamiri zaidi sehemu za shule na kuathiri uwezo wa watoto kielimu.

 

9 years ago

GPL

LUNGI AFUNGUKA MGOMBEA ANAVYOMSUMBUA KINGONO

Hamida Hassan Msanii wa filamu Bongo, Lungi Maulanga amefunguka kuwa, kuna mmoja wa wagombea udiwani katika Jimbo la Kinondoni jijini Dar, (jina linahifadhi kwa sasa) amekuwa akimsumbua kila siku akitaka ampe penzi. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Lungi alisema mwanasiasa huyo amekuwa na tabia ya kuwarubuni mastaa wa kike na hivi karibuni alishangaa akimpigia simu na kumtaka wakutane.  ....Soma...

 

10 years ago

GPL

SARAFINA AWAFUNDA MASTAA WANAOTUMIKA KINGONO

Staa mwenye jina kubwa duniani kutoka Sauzi, Leleti Khumalo ‘Sarafina’. Imelda Mtema, Zanzibar

Staa mwenye jina kubwa duniani kutoka Sauzi, Leleti Khumalo ‘Sarafina’ amewafunda mastaa wa kike kwa kuwataka wajitume ili kujiletea maendeleo kwa kuwa muda wa kutumiwa kingono na wanaume umepita. Akizungumza na Ijumaa mjini hapa akiwa mmoja wa wasanii waliohudhuria Tamasha la Ziff, Sarafina aliseme...

 

10 years ago

GPL

ANASWA! NJEMBA ADAIWA KURUBUNI WAKE ZA WATU KINGONO

Dustan Shekidele, Morogoro Mji wa Morogoro umekumbwa na matukio mfululizo ya mafumanizi ambapo baada ya ticha wa shule ya msingi kufumaniwa na dereva wa bodaboda kisha jamaa kubondwa kwa kukutwa akifanya ngono na mke wa mtu vichakani na denti wa upadri kufumaniwa, mwanzoni mwa wiki hii fumanizi lingine kiboko la njemba mwenye asili ya Kiarabu limetokea. Wakinamama (kushoto) wakimficha mwenzao (mke wa mtu) aliyenaswa kwenye...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani