Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SARAFINA AWAFUNDA MASTAA WANAOTUMIKA KINGONO

Staa mwenye jina kubwa duniani kutoka Sauzi, Leleti Khumalo ‘Sarafina’. Imelda Mtema, Zanzibar

Staa mwenye jina kubwa duniani kutoka Sauzi, Leleti Khumalo ‘Sarafina’ amewafunda mastaa wa kike kwa kuwataka wajitume ili kujiletea maendeleo kwa kuwa muda wa kutumiwa kingono na wanaume umepita. Akizungumza na Ijumaa mjini hapa akiwa mmoja wa wasanii waliohudhuria Tamasha la Ziff, Sarafina aliseme...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Ukubwa wa jina la Sarafina haumsumbui mumewe

??????????????????????????MUME wa mwigizaji wa Afrika Kusini aliyewahi kutamba katika filamu ya ‘Sarafina’, Leleti Khumalo ‘Sarafina’, Skhutmazo Khanyile, amesema ukubwa wa jina la mke wake huyo haumpi changamoto yoyote katika ndoa yao.

“Jina la Sarafina ni kubwa mno ndani ya Afrika Kusini na nje lakini nilipomuoa na kukubali kuwa mke wangu amekuwa mke kweli kwa maisha halisi si ya kuigiza, anapokuwa nyumbani huwa mke na akiwa kwenye sanaa huwa Sarafina hakuna changamoto yoyote kwenye ndoa yetu,’’ alieleza Khanyile...

 

9 years ago

GPL

NORA ANANGA WASANII WANAOTUMIKA KISIASA!

Msanii wa ‘long time’ kwenye ulimwengu wa filamu, Nuru Nassoro ‘Nora’ amewananga wasanii ambao wanakubali kutumika kisiasa katika kipindi hiki bila kujua madhara watakayopata baada ya uchaguzi.Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Nora alisema kuwa, anawashangaa baadhi ya wasanii kukubali kununulika wakati wakijua kuwa, baada ya uchaguzi watamwagwa.  ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1J3NfHE ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Riyama Awaasa Wasanii Wanaotumika Kutetea Matumbo ya Wanasiasa, Wakati…

Habari wapendwa wangu Leo naomba kuongea na wewe MTANZANIA mwenzangu rafiki yangu unae Like na ku comment katika ukurasa wangu (kwenye mtandao wa Instagram) naamini wewe ndio balozi wangu utake nifikishia ujumbe wangu Kwa jamii inayo tuzunguka.

 Ndugu zangu kupiga kura ni haki ya kila MTANZANIA hivo shime tujitokeze kwa wingi kwa wale umri unao tu ruhusu kupiga kura angalizo usikubali kushurutishwa na mtu wa aina yeyote yule kwa kumchagua kiongozi anae mtaka yeye kwa maslahi yake, bali...

 

10 years ago

BBCSwahili

Unyanyasaji wa Kingono marufuku:UN

Ripoti ya umoja wa mataifa inasema askari waliopo katika maeneo ya kulinda amani watakaojihusisha na vitendo vya unyanyasaji wa kingono watachukuliwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwaondoa katika maeneo hayo

 

10 years ago

BBCSwahili

Wagonjwa wanyanyaswa kingono UK

Mlipuko wa kisiri wa unyanyasaji wa kingono katika hospitali za Uingereza umegunduliwa

 

10 years ago

Vijimambo

WAGONJWA WANYANYASWA KINGONO UK


Wagonjwa wadaiwa kunyanyaswa kingono katika hospitali za Uingereza.
Mlipuko wa kisiri wa unyanyasaji wa kingono katika hospitali za Uingereza umegunduliwa huku takwimu mpya zikionyesha zaidi ya mashambulizi 1600 yaliripotiwa kwa polisi katika kipindi cha miaka mitatu iliopita.
Kumbukumbu zilizopatikana na gazeti la The Guardian chini ya sheria ya uhuru wa habari zinaonyesha ongezeko la asilimia 50 ya ripoti za unyanyasaji wa kingono kwa kutumia nguvu katika hospitali tangu mwaka...

 

10 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sheria yawalinda wanafunzi kingono US

Jimbo la Carlifonia nchini Marekani limewahamisha wanafunzi kwamba lazima waridhie wenyewe kabla ya kujihusisha na ngono.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mke amkimbia mume kingono

Palikuwa na kituko cha mwaka kilichotukia katika kituo cha polisi bulenga, wakati mwanamke mmoja alipokuwa akiomba poo kwa mumewe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani