Ukubwa wa jina la Sarafina haumsumbui mumewe
MUME wa mwigizaji wa Afrika Kusini aliyewahi kutamba katika filamu ya ‘Sarafina’, Leleti Khumalo ‘Sarafina’, Skhutmazo Khanyile, amesema ukubwa wa jina la mke wake huyo haumpi changamoto yoyote katika ndoa yao.
“Jina la Sarafina ni kubwa mno ndani ya Afrika Kusini na nje lakini nilipomuoa na kukubali kuwa mke wangu amekuwa mke kweli kwa maisha halisi si ya kuigiza, anapokuwa nyumbani huwa mke na akiwa kwenye sanaa huwa Sarafina hakuna changamoto yoyote kwenye ndoa yetu,’’ alieleza Khanyile...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima29 Jun
Ukubwa wa Bunge sio ukubwa wa ufanisi
JUMAPILI iliyopita mwandishi Juvenalis Ngowi aliandika kwenye safu yake ya Wazo Jepesi katika gazeti hili, kwamba tupunguze ukubwa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa yeye alilichukulia hilo...
11 years ago
GPL
MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?
11 years ago
GPL
MWANAMKE AKIOLEWA KUNA ULAZIMA AITWE JINA LA UKOO WA MUMEWE?-2
10 years ago
GPL
SARAFINA AWAFUNDA MASTAA WANAOTUMIKA KINGONO
11 years ago
Vijimambo
NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

11 years ago
Michuzi19 Jul
9 years ago
Raia Mwema06 Jan
Utata kuhusu ukubwa/udogo wa serikali, madaktari na maprofesa
KWA mwendo wa taratibu, Rais John Magufuli ameendelea kukamilisha barala la mawaziri atakalofanya
Jenerali Ulimwengu
11 years ago
Mwananchi05 Jul
Tobo: Operesheni mpya inasaidia kupunguza ukubwa wa kidonda
10 years ago
GPL
POLE DULLY ILA UMESAHAU HUO NDO’ UKUBWA?