NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!
![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s72-c/1.jpg)
Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/L5FNdOkpk1bpm*HH-DycXKB5KgnqbMwYsfJKvkqrHJGTpx7MWWpWaUWOEnOhTp7qfkQJjauM*DrusdV-y0LWKXZPeyZc*zxC/334.jpg?width=650)
MKE AANGUA KILIO KANISANI MUMEWE AKIFUNGA NDOA YA PILI
10 years ago
Mwananchi07 Nov
Mbaroni akidaiwa kumuua mumewe kwa maji ya moto
10 years ago
CloudsFM07 Nov
MBARONI AKIDAIWA KUMUUA MUMEWE KWA MAJI YA MOTO
Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mfinzi wilayani Nkasi mkoani hapa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumwagia maji ya moto mumewe na kumsababishia kifo, kisha kuutumbukiza mwili wake mtoni.
Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi usiku kijijini hapo na kumtaja aliyeuawa kuwa ni Evod Teola (62).
Alisema siku ya tukio mwanamume huyo alirejea nyumbani na kuanza mzozo na mkewe aliyemtaja kwa jina la Zelena Kiozya (55) ambaye...
10 years ago
Habarileo09 Nov
Ammwagia mumewe maji ya moto usoni, sehemu za siri
MKAZI wa Kitongoji cha Mfinzi kijiji cha Chala wilayani Nkasi, Zelena Kiozya (55) anadaiwa kumuua mumewe Evod Teola (62) kwa kummwagia maji ya moto mwilini mwake.
11 years ago
Michuzi06 May
MKE AZIRAI BAADA YA KUHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA MITANO YEYE NA MUMEWE
baada ya kuhukumiwa miaka mitano jela
Watu wawili wa familia moja Frank Charles na mkewe Asia Khamis wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela au kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja kwa kosa la kukutwa na madawa ya kulevya aina ya bangi. Hakimu wa mahakama ya wilaya ya Mbeya Maria Batulaine amewatia hatiani wanandoa hao baada ya kuridhishwa na ushahidi usio shaka wa mashahidi wanne wa upande wa mashitaka. Imedaiwa na Mwendesha mashitaka...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vJSFiOyZSXXa2UVVzaTQoUHarkHHj3Am9O9qc0p4j8lpEjFp4w9E5FZQPydWNxykbJ8D4LzHK9wbD3nAH4otFgY50JY0*6Cd/Davina.jpg)
DAVINA ACHARUKA KISA KURUDI KWA MUMEWE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhhA6XZToLpRW9B6130EhVGDJnYhbIwWNsaoZoiKR6AFz9JEwAGbYJDHxLPU69keZZos75BsRFG02GQUw4s4optJIhFABSkY/Mwanza.jpg?width=650)
MKE AMZABUA MUMEWE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N5iLqqYx8ZQqZslXyQ34vPBpWEv53mWe2hjTAW-BcO53GbPIg0aB8smu38D8DbZQn803SU0eC-Zp77Ws8lhcmT2/mke.jpg?width=650)
MKE ADAIWA KUMUUA MUMEWE!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9pVNH1qXqqyEAYNvgTpB94dBe5rq851QGUSBBjYu8pBLDgCq0a-FXH13yn7JwCfQtUcB5kCec8Qby3Z1OFkLz9tN7CjpI5t*/MUME.jpg?width=650)
MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE