Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DAVINA ACHARUKA KISA KURUDI KWA MUMEWE

Imelda Mtema FUNGUKA! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amesema anakasirishwa na ‘wambeya’ ambao kila uchwao wamekuwa wakimuuliza atarudi lini kwa mumewe, Abdallah Shakoor ambaye walitengana miezi kadhaa iliyopita. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’. Kuonesha amechoshwa na maswali hayo yanayomfikia kupitia watu wake wa karibu, Davina alisema hakuna mtu anayejua siri yake na siku...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

10 years ago

GPL

DAVINA AMWANGUKIA MUMEWE

Brighton Masalu Sorry! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kumwangukia mumewe, Abdallah Shakoor ili kurejesha uhai wa ndoa yao ‘iliyokwaruzwa na makucha ya shetani’ ikiwa ni njia ya kurudisha heshima na hadhi yake kwenye familia na jamii kwa jumla. Staa wa sinema za Kibongo Halima Yahya ‘Davina’. Habari kutoka kwa chanzo makini kilieleza kwamba, mara kadhaa Davina...

 

9 years ago

GPL

WOLPER ACHARUKA KISA MIMBA

Imelda Mtema MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Jacqueline Walper ‘Wolper amecharuka vibaya mara baada ya kuulizwa habari za ujauzito.Juzikati mwanahabari wetu alipenyezewa ubuyu kuwa mwigizaji huyo haonekani viwanja kwa kuwa ni mjamzito ndipo mwanahabari wetu alipomvutia waya Wolper ambaye alijibu kwa hasira.  ...Soma zaidi===>http://goo.gl/abeA5L ...

 

11 years ago

GPL

DAVINA APEWA KIPIGO KIKALI NA MUMEWE

Na Musa Mateja
KIBANO! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kupewa kipigo kikali na mumewe, muda mfupi baada ya kukutwa akiongea kimahaba na simu iliyodaiwa kupigwa na mwanaume mwingine. Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ Tukio hilo lilitokea nyumbani kwa msanii huyo, Mbezi-Beach, Dar, Julai 22, mwaka huu ambapo Davina alikutwa akizungumza na mwanaume ambaye...

 

11 years ago

GPL

AMCHOMA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI

Stori: Haruni Sanchawa
MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Said mkazi wa Kitunda, Ilala jijini Dar es Salaam anashikiliwa na Polisi baada ya kummwagia maji ya moto mumewe sehemu za siri na tumboni kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, tukio lililotokea Julai 16 mwaka huu, huko Kitunda. Majeruhi Adam Rashid akiwa amelazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam kwa majeraha ya maji ya moto. ...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AMKIMBIA MUMEWE, KISA MFUNGO

Stori: Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka hivi karibuni aliamua kumkimbia mumewe Malick Bandawe, kisa mfungo wa Ramadhani ambapo sasa anaishi Kigogo na mama yake mzazi. Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka katika pozi. Akipiga stori na Ijumaa, Rose alisema amelazimika kwenda nyumbani kwao ili kumpisha mumewe atimize nguzo hiyo ya Uislam bila kipingamizi kutokana na kutokufunga ndoa.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajeruhiwa kisa amwomba mumewe fedha ya dawa

Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mnyamasi, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Tatu Mihambo (20) amejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa na mumewe kwa fimbo na kisha kumwagiwa maji ya moto kwa madai ya kukasirishwa na kitendo cha kumuomba fedha ya matumizi.

 

11 years ago

GPL

AKATWA PANGA NA MUMEWE KISA, KUZUIA MTOTO KUKEKETWA

Stori: Timothy Itembe, Tarime
MKAZI wa Kitongoji cha Songa Mbele wilayani Tarime mkoani Mara, Modester Mwita,33, amepigwa panga na mumewe kwa madai kuwa hataki mtoto wake wa kike wa umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) kwenda kukeketwa. Modester Mwita. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita akiwa Hospitali ya Bomani mjini hapa, Modester alisema kuwa tukio hilo lilitokea  asubuhi saa mbili Desemba,13, mwaka jana baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani