DAVINA APEWA KIPIGO KIKALI NA MUMEWE
![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeGaZlP0eIZvS9JYUUO4BqYvCply*VzWqnWVm*PoeWrA5iQvre50dbMLTSI9vp5PTOpEPWqszkZ9hmbWmaRR04uN/davina.jpg?width=650)
Na Musa Mateja KIBANO! Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kupewa kipigo kikali na mumewe, muda mfupi baada ya kukutwa akiongea kimahaba na simu iliyodaiwa kupigwa na mwanaume mwingine. Staa wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ Tukio hilo lilitokea nyumbani kwa msanii huyo, Mbezi-Beach, Dar, Julai 22, mwaka huu ambapo Davina alikutwa akizungumza na mwanaume ambaye...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Lf1B3Uv2G4tnJJ2C*0ApJwP3LCCprMiXOQjcyOyOELxJ466y2wVX8vGgDc*6n3CCJmDbCk6w32HH9*zShWjJU6jKK4qWR7Kt/lulucopy.jpgYY.jpg?width=650)
DAVINA AMWANGUKIA MUMEWE
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vJSFiOyZSXXa2UVVzaTQoUHarkHHj3Am9O9qc0p4j8lpEjFp4w9E5FZQPydWNxykbJ8D4LzHK9wbD3nAH4otFgY50JY0*6Cd/Davina.jpg)
DAVINA ACHARUKA KISA KURUDI KWA MUMEWE
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Tonto Dikeh apewa Prado na mumewe kama zawadi ya Krismasi
Toyota Prado
MSANII mwenye vituko kunako tasnia ya filamu, Nollywood, Tonto Dikeh Sikukuu ya Krismasi mwaka huu imekuwa nzuri kwake baada ya mumewe kipenzi, Olanrewaju Churchill kumkabidhi Prado nyeupe kama zawadi ya sikukuu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Tonto aliweka furaha yake kwa mashabiki kwa kutupia picha ya gari hilo na kumuita mumewe huyo KingKong.
“Ahsante kwa KingKong wangu kwa kunibariki gari hili ambalo ni jipya kabisa, Prado ya mwaka 2016. Mungu akubariki sana wewe mtu...
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Davina Akanusha Habari “Davina Amchokonoa Wema” Adai ni Uchonganishi
Staa wa bongo movies, Halima Yahaya ‘Davina’ ameonyesha kushitushwa na habari zilizoripotiwa leo nagezeti moja la udaku limeripoti habari yenye kishwa cha habari “Davina Amchokokoa Wema” kitu ambacho Davina amedai ni uchanganishi kati yake na Staa mwenzake Wema Sepetu.
Gazeti hilo limedai kuwa Davina alisema kuwa anamshukuru Mungu kwa mawanae kutimiza miaka miwili kwani kuna watu wanatafuta watoto mpaka sasa hawajapata.
Davina aliyaongea hayo katika birthday ya mwanae iliyofanyika ...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s72-c/1.jpg)
NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!
![](http://1.bp.blogspot.com/-m_XVvS1gIRY/VCwCQNGuXSI/AAAAAAAAOEE/Hecxlxw23pc/s640/1.jpg)
10 years ago
BBCSwahili12 Oct
Kimbunga kikali chawaua watu 6 India
11 years ago
GPL10 years ago
Bongo Movies30 May
Baada ya Hulka Sasa Kitu Kikali Filamu ya Kupenda Kubaya
Kampuni ya usambazaji wa filamu Bongo ya Saprima Distributors inatarajia kuachia bonge la movie la KUPENDA KUBAYA ni kutoka kwa mtayarishaji Yule Yule wa filamu ya Hulka iliyotesa na kufunika kazini kibao Swahilihood Madebe Lindai anatamba kuwa sinema ya KUPENDA KUBAYA ni kazi nzuri sana.
“Kaka hapa mtoto hatumwi sokoni kama mboga wacha iungue tu maana filamu ya kupenda kubaya imetendewa haki kwa kila aliyeshiriki katika sinema hiyo asikwambie mtu wasanii wameigiza katika ushindani mkubwa...