Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKATWA PANGA NA MUMEWE KISA, KUZUIA MTOTO KUKEKETWA

Stori: Timothy Itembe, Tarime
MKAZI wa Kitongoji cha Songa Mbele wilayani Tarime mkoani Mara, Modester Mwita,33, amepigwa panga na mumewe kwa madai kuwa hataki mtoto wake wa kike wa umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) kwenda kukeketwa. Modester Mwita. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita akiwa Hospitali ya Bomani mjini hapa, Modester alisema kuwa tukio hilo lilitokea  asubuhi saa mbili Desemba,13, mwaka jana baada ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE

Na  Imelda Mtema
NI mkasa wa kusikitisha kama siyo kutisha, unaowafanya wanaume  wengi wa siku hizi  waonekane ni makatili na majanga matupu mbele ya jamii. Akizungumza na Joyce Kiria(kulia), Leah (kushoto) alisema kwamba siku zote aliishi na mumewe kwa uvumilivu mkubwa. Kitendo hicho cha kinyama, kimemkuta mwanamke Leah  Benard mkazi wa Kijiji cha Kifufu, mkoani wa Geita baada ya kukatwa kiganja chake cha mkono...

 

11 years ago

GPL

AMCHOMA MUMEWE KISA WIVU WA MAPENZI

Stori: Haruni Sanchawa
MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina la Fatuma Said mkazi wa Kitunda, Ilala jijini Dar es Salaam anashikiliwa na Polisi baada ya kummwagia maji ya moto mumewe sehemu za siri na tumboni kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi, tukio lililotokea Julai 16 mwaka huu, huko Kitunda. Majeruhi Adam Rashid akiwa amelazwa katika Hospitali ya Amana, Ilala jijini Dar es Salaam kwa majeraha ya maji ya moto. ...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajeruhiwa kisa amwomba mumewe fedha ya dawa

Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mnyamasi, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Tatu Mihambo (20) amejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa na mumewe kwa fimbo na kisha kumwagiwa maji ya moto kwa madai ya kukasirishwa na kitendo cha kumuomba fedha ya matumizi.

 

9 years ago

GPL

DAVINA ACHARUKA KISA KURUDI KWA MUMEWE

Imelda Mtema FUNGUKA! Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ amesema anakasirishwa na ‘wambeya’ ambao kila uchwao wamekuwa wakimuuliza atarudi lini kwa mumewe, Abdallah Shakoor ambaye walitengana miezi kadhaa iliyopita. Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’. Kuonesha amechoshwa na maswali hayo yanayomfikia kupitia watu wake wa karibu, Davina alisema hakuna mtu anayejua siri yake na siku...

 

11 years ago

GPL

ROSE NDAUKA AMKIMBIA MUMEWE, KISA MFUNGO

Stori: Hamida Hassan
Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka hivi karibuni aliamua kumkimbia mumewe Malick Bandawe, kisa mfungo wa Ramadhani ambapo sasa anaishi Kigogo na mama yake mzazi. Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka katika pozi. Akipiga stori na Ijumaa, Rose alisema amelazimika kwenda nyumbani kwao ili kumpisha mumewe atimize nguzo hiyo ya Uislam bila kipingamizi kutokana na kutokufunga ndoa.… ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtoto ajeruhi mzazi kwa panga

MKAZI wa kijiji cha Ndala, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, Andondile Mwasamlagila (50) amenusulika kufa baada ya kucharangwa na mapanga na mtoto wake, Yuda Mwasamlagila kutokana na ulevi wa kupindukia....

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto mwingine akatwa kiganja Sumbawanga

Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ‘albino’ Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, Bonde la Ziwa Rukwa wilayani Sumbawanga ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomea nacho kusikojulikana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mwingine Albino akatwa mkono

Matukio ya ukatili ddhidi ya albino yanaendelea kuwa tishio nchini Tanzania baada ya mtoto wa miaka sita kukatwa kiganja cha mkono

 

10 years ago

GPL

INAUMA SANA: MTOTO AKATWA UUME!

Deogratias mongela/Ijumaa
MTOTO aitwaye Badru Muhidin mwenye umri wa miaka miwili, amepata pigo kubwa baada ya kukatwa uume wake kimakosa na babu yake aliyekuwa amempeleka kutahiriwa kienyeji huko Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Mtoto aitwaye Badru Muhidin akiwa na mama yake. Mama mzazi wa mtoto huyo, Mwajuma Hussein ambaye ni mkazi wa Yombo jijini Dar, alisema aliishi na mwanaye peke yake bila baba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani