Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE

Na  Imelda Mtema
NI mkasa wa kusikitisha kama siyo kutisha, unaowafanya wanaume  wengi wa siku hizi  waonekane ni makatili na majanga matupu mbele ya jamii. Akizungumza na Joyce Kiria(kulia), Leah (kushoto) alisema kwamba siku zote aliishi na mumewe kwa uvumilivu mkubwa. Kitendo hicho cha kinyama, kimemkuta mwanamke Leah  Benard mkazi wa Kijiji cha Kifufu, mkoani wa Geita baada ya kukatwa kiganja chake cha mkono...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NDOA NDOANO:MKE AMWAGIA MUMEWE MAJI YA MOTO BAADA YA KUULIZWA NA MUMEWE KWANINI AMECHELEWA KURUDI NYUMBANI!!

Mwanamke mmoja katika wilaya ya Bunda, mkoani Mara, amemfanyia ukatili mume wake kwa kumwagia maji ya moto yaliyokuwa yametengwa kwa ajili ya kupikia ugali.Kwa mujibu wa jeshi la polisi wilayani hapa, tukio hilo lilitokea juzi, saa 4:30 usiku, katika mtaa wa Nyamakokoto, mjini Bunda, baada ya kuzuka ugomvi ulitokana na mwanamke huyo (jina linahifadhiwa) kuchelewa kurudi nyumbani.Mwanaume huyo amejeruhiwa vibaya mume wake sehemu mbalimbali za mwili wake, hali iliyopelekea kulazwa katika...

 

11 years ago

GPL

AKATWA PANGA NA MUMEWE KISA, KUZUIA MTOTO KUKEKETWA

Stori: Timothy Itembe, Tarime
MKAZI wa Kitongoji cha Songa Mbele wilayani Tarime mkoani Mara, Modester Mwita,33, amepigwa panga na mumewe kwa madai kuwa hataki mtoto wake wa kike wa umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) kwenda kukeketwa. Modester Mwita. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita akiwa Hospitali ya Bomani mjini hapa, Modester alisema kuwa tukio hilo lilitokea  asubuhi saa mbili Desemba,13, mwaka jana baada ya...

 

10 years ago

Habarileo

Albino mwingine akatwa mkono

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri KidavashariMWANAMKE mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Remi Luchoma (30), mkazi wa kijiji cha Mwamachoma kata ya Mamba wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi, amekatwa mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana, kisha wakatokomea na kiganja cha mkono huo kusikojulikana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto mwingine Albino akatwa mkono

Matukio ya ukatili ddhidi ya albino yanaendelea kuwa tishio nchini Tanzania baada ya mtoto wa miaka sita kukatwa kiganja cha mkono

 

11 years ago

GPL

MKE AKATWA MAPANGA, HAWARA ATAJWA

Stori: Timoth Itembe, TARIME
MAMA mmoja mkazi wa Ronsoti, Kata ya Nyamisangura, wilayani hapa, Eliza Marwa,28, hivi karibuni amenusurika kuuawa na mumewe, baada ya majirani kufika kumuokoa kutokana na kukatwakatwa mapanga. Mariamu akiugulia maumivu. Mama huyo aliliambia gazeti hili akiwa katika Hospitali ya Wilaya Bomani, Tarime kuwa mume wake Marwa Ogora alimkatakata mapanga baada ya kumtuhumu kuwa akikwenda kwa hawara yake...

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIBINO AKATWA MKONO RUKWA JANA

Mtoto albino, Baraka Cosmas (6) anayeishi na wazazi wake kijijini Kipeta, mkoani Rukwa jana ameshambuliwa na kujeruhiwa vibaya kwa kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia na watu wasiojulikana kisha kutokomea nacho kusikojulikana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke kutoka India ‘akatwa mkono’ Saudia

Mwanamke mmoja aliyekuwa ameenda kufanya kazi Saudi Arabia amelazwa hospitalini baada ya kudaiwa kukatwa mkono na mwajiri wake.

 

11 years ago

Mwananchi

UKATILI: Mke mjamzito akatwa mguu, amwagiwa tindikali

>“Ni zaidi ya miezi sita tangu nifanyiwe ukatili na mume wangu na mama mkwe. Nahangaika kuuguza mguu niliokatwa kwa panga  kunyunyiziwa maji ya betri. sijui kama utapona. Kichanga nacho kinasumbua, jamani nimekosa nini mimi kwa Mungu.”

 

5 years ago

Michuzi

POLISI AKATWA MKONO AKIWA DORIA YA KUDHIBITI CORONA INDIA


Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
POLISI mmoja nchini India amekatwa mkono kwa upanga na maafisa wengine sita kujeruhiwa vibaya mara baada ya kushambuliwa wakati wa kutekeleza zuio la watu kutoka nje (Lockdown) ikiwa ni sehemu ya kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona (Covid -19) huko Punjab kaskazini mapema leo asubuhi, Shirika la kimataifa la utangazaji la CNN limeripoti.
Imeelezwa kuwa sehemu ya mkono (kiwiko) wa kushoto wa Harjit Singh, mkurugenzi msaidizi wa Polisi wa Punjab ulijeruhiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani