MKE AKATWA MAPANGA, HAWARA ATAJWA

Stori: Timoth Itembe, TARIME MAMA mmoja mkazi wa Ronsoti, Kata ya Nyamisangura, wilayani hapa, Eliza Marwa,28, hivi karibuni amenusurika kuuawa na mumewe, baada ya majirani kufika kumuokoa kutokana na kukatwakatwa mapanga. Mariamu akiugulia maumivu. Mama huyo aliliambia gazeti hili akiwa katika Hospitali ya Wilaya Bomani, Tarime kuwa mume wake Marwa Ogora alimkatakata mapanga baada ya kumtuhumu kuwa akikwenda kwa hawara yake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BINTI NUSURA ABAKWE, AKATWA MAPANGA
10 years ago
GPL
AKATWA MAPANGA KWA MADAI YA KUGONGANISHA MABWANA
11 years ago
MichuziMWANAFUNZI DARASA LA NNE AKATWA MAPANGA NA MFANYAKAZI WA NYUMBANI

MTOTO Perezi Christian (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne
katika shule ya msingi Motomoto iliyoko katika kata ya Vumilia wilaya
ya Urambo mkoani Tabora amekatwakatwa mapanga mikononi na miguuni na mfanyakazi wa...
11 years ago
GPL
MKE, HAWARA...
11 years ago
GPL
MKE AMBONDA HAWARA GESTI!
11 years ago
GPL
MKE AKATWA MKONO NA MUMEWE
11 years ago
GPL
MKE WA KAMANDA BARLOW AFUKUZWA KWA MAPANGA!
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia
11 years ago
Mwananchi01 Mar
UKATILI: Mke mjamzito akatwa mguu, amwagiwa tindikali