Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AKATWA MAPANGA KWA MADAI YA KUGONGANISHA MABWANA

Na Gregory Nyankaira, Butiama
MCHEPUKO usitajwe kwako! Mrembo aliyejulikana kwa jina la Bahati Nyamkira (20) (pichani), mkazi wa Kijiji cha Singu, Kata ya Kukirango, Butiama, Mara, amenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga sehemu mbalimbali za mwili na mwanaume anayedaiwa kuwa hawara yake kisa kikisemekana ni kumkuta akiwa na hawara mwingine, (kuwagonganisha). Bahati Nyamkira amenusurika kifo baada ya kucharangwa mapanga...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MKE AKATWA MAPANGA, HAWARA ATAJWA

Stori: Timoth Itembe, TARIME
MAMA mmoja mkazi wa Ronsoti, Kata ya Nyamisangura, wilayani hapa, Eliza Marwa,28, hivi karibuni amenusurika kuuawa na mumewe, baada ya majirani kufika kumuokoa kutokana na kukatwakatwa mapanga. Mariamu akiugulia maumivu. Mama huyo aliliambia gazeti hili akiwa katika Hospitali ya Wilaya Bomani, Tarime kuwa mume wake Marwa Ogora alimkatakata mapanga baada ya kumtuhumu kuwa akikwenda kwa hawara yake...

 

10 years ago

GPL

BINTI NUSURA ABAKWE, AKATWA MAPANGA

SHANI RAMADHANI KHAA! Binti aliyejitambulisha kwa jina la Elizabeth Sombe (13), mkazi wa Mafinga mkoani Iringa ambaye alikuja jijini Dar kwa ajili ya kufanya kazi za ndani, amelazwa katika Hospitali ya Taifa  Muhimbili (MNH) wodi ya Mwaisela namba mbili, Dar baada ya kucharangwa mapanga na kundi la vijana kufuatia kukataa kubakwa. Elizabeth Sombe anayedaiwa kunusurika kubakwa. Akizungumza na Amani juzi, Elizabeth alisema...

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI DARASA LA NNE AKATWA MAPANGA NA MFANYAKAZI WA NYUMBANI

  Mama mzazi akiwa na Mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi Motomoto kata ya Vumilia wilayani Urambo aliyekatwakatwa mapanga na mfanyakazi wa nyumbani kwa madai ya kunyimwa hela na baba mzazi wa mtoto hu ========  =======  ======= Na Allan Ntana, Urambo
MTOTO Perezi Christian (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne
katika shule ya msingi Motomoto iliyoko katika kata ya Vumilia wilaya
ya Urambo mkoani Tabora amekatwakatwa  mapanga mikononi na miguuni na   mfanyakazi wa...

 

9 years ago

StarTV

Mwili waharibika kwa madai ya kuhifadhiwa chini kwa  madai ya uzembe Sekou Toure

Mwili wa kijana aliyekuwa akiishi mitaani jijini Mwanza marehemu Baraka Hamisi hatimaye umezikwa baada ya kukosa hifadhi katika jokofu la maiti kwa takribani siku sita katika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure

Marehemu Bakari Hamisi mwenye umri wa miaka 22 kijana wa mitaani aliyekuwa akijishughulisha na biashara ndogondogo alifariki dunia alipokuwa akipelekwa hospitalini hapo na vijana wenzake wa mitaani kwa ajili ya kupata matibabu.

Awali kabla ya kufikwa na mauti, vijana wenzake wa...

 

9 years ago

StarTV

Watu wanne wauawa kwa kucharangwa kwa mapanga.

 

Watu wanne wamekutwa wameuawa katika kijiji cha  Katoma wilayani Bukoba, miili yao ikiwa imecharangwa kwa mapanga na watu wasiofahamika .

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera  Kamishna MSAIDIZI Mwandamizi wa Polisi Augustino Ollomi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba hadi sasa watu waliohusika na mauaji hayo bado hawajatiwa mbaroni.

Matukio hayo yametokea katika kijiji cha Katoma wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera ambapo jumla ya watu wanne wameuawa katika maeneo mawili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa kucharangwa mapanga

WATU wasiojulikana wamevamia Kanisa la Pentekoste Assemblies of God ( PAG ) usiku wa kuamkia leo Tawi la Kagemu, Kata ya Kitendaguro Manispaa ya Bukoba na kumuua mwalimu ambaye ni...

 

11 years ago

GPL

AUAWA KIKATILI KWA MAPANGA

Stori: Victor Bariety, Geita
HUU ni unyama! Modester Shija, 55, mkazi wa Kitongoji cha Kamlale, Kijiji cha Nyawilimilwa, wilayani Geita, ameuawa kikatili kwa kukatwa mapanga. Tukio hilo la kuhuzunisha, lilitokea Machi 14, mwaka huu ambapo lilifanywa na watu wasiojulikana wakati mama huyo akiwa jikoni kwake akitayarisha chakula cha usiku. Ilielezwa kuwa siku ya tukio, majira ya saa 1:30 usiku, Modester akiwa jikoni,  walifika...

 

9 years ago

Mwananchi

Mama na mwanawe wauawa kwa mapanga

Mkazi wa Kijiji cha Saragulwa, Kata ya Nyamwilolela mkoani hapa na mwanaye wameuawa kwa kukatwa mapanga na watu ambao hawajajulikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani