AUAWA KIKATILI KWA MAPANGA
Stori: Victor Bariety, Geita HUU ni unyama! Modester Shija, 55, mkazi wa Kitongoji cha Kamlale, Kijiji cha Nyawilimilwa, wilayani Geita, ameuawa kikatili kwa kukatwa mapanga. Tukio hilo la kuhuzunisha, lilitokea Machi 14, mwaka huu ambapo lilifanywa na watu wasiojulikana wakati mama huyo akiwa jikoni kwake akitayarisha chakula cha usiku. Ilielezwa kuwa siku ya tukio, majira ya saa 1:30 usiku, Modester akiwa jikoni, walifika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo25 Dec
Aliyemuua kikatili dereva bodaboda, auawa kikatili
WANANCHI wamemuua mtuhumiwa wa mauaji wakati akijaribu kutoroka kutoka mjini Namanyere wilayani Nkasi, mkoani Rukwa.
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Auawa kwa kucharangwa mapanga
WATU wasiojulikana wamevamia Kanisa la Pentekoste Assemblies of God ( PAG ) usiku wa kuamkia leo Tawi la Kagemu, Kata ya Kitendaguro Manispaa ya Bukoba na kumuua mwalimu ambaye ni...
11 years ago
Habarileo19 Jan
Mwendesha bodaboda auawa kwa mapanga
MWENDESHA bodaboda, mkazi wa Kijiji cha Korotambe Kata ya Mwema wilayani Tarime, Nyang'era Kirutu Chacha (40) ameuawa baada ya kupigwa mapanga katika kijiji cha Magena akidaiwa kuwa mwizi wa mifugo.
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia
10 years ago
CloudsFM14 Aug
MGANGA WA KIENYEJI AUAWA KWA RISASI, MAPANGA
Watu wasiofahamika wamemvamia na kumuua mganga wa kienyeji, Salehe Garimoshi (65), mkazi wa Kijiji cha Milala wilayani Mpanda kwa kumpiga risasi kichwani kisha kuukatakata mwili wake kwa mapanga.
Taarifa kutoka eneo la tukio, zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zinadai kuwa baada ya mganga huyo kuvamiwa na watu hao, mmoja wao aliyekuwa na bunduki, alimfyatulia risasi kichwani kisha kuamuru wenzake wamkatekate kwa mapanga.
Kaimu kamanda wa polisi wa Mkoa wa Katavi, Focus Malengo alisema jana...
11 years ago
CloudsFM25 Jun
BIBI KIZEE AUAWA KIKATILI KWA IMANI ZA KISHIRIKINA, KAHAMA
Bibi mmoja Mkazi wa mtaa wa Nyahanga, wilayani Kahama Mkoani Shinyanga, Rebeka Sengasenga (82), ameuawa kwa kukatwa na Shoka kichwani kwa kile kinachohisiwa kuwa ni imani za Kishirikina.Kwa mujibu wa majirani, tukio hilo limetokea leo majira ya saa tatu asubuhi katika Mtaa wa Nyahanga, wilayani humo, ambapo Marehemu Rebeka alienda nyumbani kwa mtoto wake Bundala Sengasenga alikokuwa ameitwa na mke wa Bundala kusaidia kuanika Dengu.
Imeelezwa kuwa Merehemu Rebeka ambaye alikuwa akiishi kwa...
11 years ago
CloudsFM25 Jul
KIKONGWE AUAWA KWA KUCHARANGWA MAPANGA AKIWA NA WAJUKUU ZAKE WAWILI
Matukio ya mauaji ya wanawake vikongwe kutokana na ugomvi wa mashamba yameendelea kujitokeza mkoani Shinyanga ambapo huko katika kitongoji na kijiji cha Magwata kata ya Mwamalili katika manispaa ya Shinyanga,mwanamke aitwaye Sayi Nyenje(75) ameuawa kwa kukatwa mapanga shingoni na kiganjani akiwa amelala na wajukuu zake.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari kutoka wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SAP Justus Kamugisha tukio hilo limetokea Julai 23,mwaka huu saa 11 alfajiri.
...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/j*z2ryZ7D1wJyMazYRZY4YqJnBxM00gP8f9jrup8RIWihDGmrmN1G9aItNemHNlta28vtq5T1BeujjBgIsuQroi1-wIgsoeW/mlinziwamahakama.jpg)
MLINZI WA MAHAKAMA AUAWA KIKATILI, MOROGORO
11 years ago
Mwananchi05 Mar
Auawa baada ya kuwacharanga mapanga polisi