Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia

Mwanamke kazi wa Kijiji cha Mgunga, wilayani Igunga, Gama Jilala ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa kucharangwa mapanga

WATU wasiojulikana wamevamia Kanisa la Pentekoste Assemblies of God ( PAG ) usiku wa kuamkia leo Tawi la Kagemu, Kata ya Kitendaguro Manispaa ya Bukoba na kumuua mwalimu ambaye ni...

 

11 years ago

GPL

AUAWA KIKATILI KWA MAPANGA

Stori: Victor Bariety, Geita
HUU ni unyama! Modester Shija, 55, mkazi wa Kitongoji cha Kamlale, Kijiji cha Nyawilimilwa, wilayani Geita, ameuawa kikatili kwa kukatwa mapanga. Tukio hilo la kuhuzunisha, lilitokea Machi 14, mwaka huu ambapo lilifanywa na watu wasiojulikana wakati mama huyo akiwa jikoni kwake akitayarisha chakula cha usiku. Ilielezwa kuwa siku ya tukio, majira ya saa 1:30 usiku, Modester akiwa jikoni,  walifika...

 

11 years ago

Habarileo

Mwendesha bodaboda auawa kwa mapanga

MWENDESHA bodaboda, mkazi wa Kijiji cha Korotambe Kata ya Mwema wilayani Tarime, Nyang'era Kirutu Chacha (40) ameuawa baada ya kupigwa mapanga katika kijiji cha Magena akidaiwa kuwa mwizi wa mifugo.

 

10 years ago

CloudsFM

MGANGA WA KIENYEJI AUAWA KWA RISASI, MAPANGA

Watu wasiofahamika wamemvamia na kumuua mganga wa kienyeji, Salehe Garimoshi (65), mkazi wa Kijiji cha Milala wilayani Mpanda kwa kumpiga risasi kichwani kisha kuukatakata mwili wake kwa mapanga.
Taarifa kutoka eneo la tukio, zilizothibitishwa na Jeshi la Polisi zinadai kuwa baada ya mganga huyo kuvamiwa na watu hao, mmoja wao aliyekuwa na bunduki, alimfyatulia risasi kichwani kisha kuamuru wenzake wamkatekate kwa mapanga.

Kaimu kamanda wa polisi wa Mkoa wa Katavi, Focus Malengo alisema jana...

 

10 years ago

GPL

MKE WA KAMANDA BARLOW AFUKUZWA KWA MAPANGA!

UONEVU! Ikiwa imepita takribani miaka miwili tangu aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, ACP Liberates Barlow (53) (picha ndogo) afariki dunia usiku wa Oktoba 13, 2012 kwa kupigwa risasi na watu waliodhaniwa ni majambazi,  mke wa marehemu, Stella Barlow naye yamemkuta mazito kwani chupuchupu auawe. Mke wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, ACP Liberates Barlow (53), Stella Barlow (wa pili kulia) akiomboleza katika...

 

11 years ago

CloudsFM

KIKONGWE AUAWA KWA KUCHARANGWA MAPANGA AKIWA NA WAJUKUU ZAKE WAWILI

Matukio ya mauaji ya wanawake vikongwe kutokana na ugomvi wa mashamba yameendelea kujitokeza mkoani Shinyanga ambapo huko katika kitongoji na kijiji cha Magwata kata ya Mwamalili katika manispaa ya Shinyanga,mwanamke aitwaye Sayi Nyenje(75) ameuawa kwa kukatwa mapanga shingoni na kiganjani akiwa amelala na wajukuu zake.
Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari kutoka wa kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga SAP Justus Kamugisha tukio hilo limetokea Julai 23,mwaka huu saa 11 alfajiri.

...

 

9 years ago

GPL

NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA

Richard Bukos Hii kali! Njemba mmoja ambaye jina halikupatikana amekula kipigo mbele ya mkewe ambaye alifanikiwa kukimbia baada ya kudaiwa kufanya jaribio la kuingia kwenye onesho la Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ kwa kutumia tiketi feki, Ijumaa lina kisa na mkasa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PWCUDc

 

9 years ago

GPL

KISA VICOBA, MKE AKIMBIA NDOA!

MAKUBWA! Mke aliyetajwa kwa jina la Hawa Mussa (20), mkazi wa Yombo - Buza, Dar amelalamikiwa na mumewe Abdul Aziz, kwamba amekimbia kwenye ndoa yao baada ya kumfokea kwa kosa la kuchelewa kurudi kutoka kwenye Vicoba.  Hawa Mussa na mumewe siku ya harusi yao. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati jijini Dar, mume huyo alisema mkewe aliondoka nyumbani baada ya kumuonya kutokana na mwenendo wake kubadilika sanjari na kuwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

MUME KWA MKE TAJIRI

UME KWA MKE TAJIRI Mke akiwa tajiri, mwanamume maskini Hana uwezo fakiri, mke hatamthamini Natunga hili shairi, nisemayo naamini Mume kwa mke tajiri

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani