KISA VICOBA, MKE AKIMBIA NDOA!
![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQTcU1ydoGE5DQNRUm3XUv92mVJqp-ROminobGl6B09ZYFrC99igbHGtIIUiei4iK0gtY5hSA-Wf3bmiZLQjnZF0/mhhalivyorembwa.jpg?width=650)
MAKUBWA! Mke aliyetajwa kwa jina la Hawa Mussa (20), mkazi wa Yombo - Buza, Dar amelalamikiwa na mumewe Abdul Aziz, kwamba amekimbia kwenye ndoa yao baada ya kumfokea kwa kosa la kuchelewa kurudi kutoka kwenye Vicoba. Hawa Mussa na mumewe siku ya harusi yao. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati jijini Dar, mume huyo alisema mkewe aliondoka nyumbani baada ya kumuonya kutokana na mwenendo wake kubadilika sanjari na kuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi12 Jul
UKATILI: Ndoa ya watoto yageuka majanga, nusura amuue mke kisa ng’ombe
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiGP58buB3cEiQ6bzMgnDvys0ULhmdX1C5ts3JFnEdP*95Nouzv3wBOnFI0gBgg7XOuJHVUQ8xpbj7GdrbJm7Fxy/Kipigo.gif?width=650)
NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-Swp1IsPfCyEiaYp8RYFQjdW3wDp-C2hqEw3kO4Kw*QtfI2GDyBEznAqVaIbp5djDqBDX1cqqCwYIJ0Wh7e1AIR/Hawa.jpg)
BABA AKIMBIA FAMILIA BAADA YA MKE KUPOOZA
9 years ago
Dewji Blog19 Oct
Mdau Sillas Mbuya akimbia kambi ya ukapera, afunga ndoa Ancilla!
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-l-C7WpxHWJw/VYr7NWmkVGI/AAAAAAAHjn0/HY9ExkXfZEQ/s72-c/african-weddings%2B%25281%2529.jpg)
MAKALA YA SHERIA: KISHERIA ALIYEFUNGA NDOA YA MKE MMOJA HAWEZI KUOA MKE WA PILI
![](http://2.bp.blogspot.com/-l-C7WpxHWJw/VYr7NWmkVGI/AAAAAAAHjn0/HY9ExkXfZEQ/s640/african-weddings%2B%25281%2529.jpg)
Na Bashir YAkub
Sura ya 29 Sheria ya ndoa imeeleza mambo mengi . Baadhi yanajulikana na baadhi hayajulikani. Wakati mwingine hata baadhi ya yanayojulikana haijulikani kama yameruhusiwa na sheria au yanafanyika kimazoea. Na hapa ndipo inapoibukia migogoro mingi ambayo tunayoshuhudia mahakamani na hata nje ya mahakama. Aidha sheria hii imebeba mambo mengi ya talaka, matunzo ya watoto na mwanamke, jinai za unyanyasaji wa kijinsia, ndoa haramu ...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...
9 years ago
MichuziMFUKO WA GEPF KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA VICOBA WA UYACODE KATIKA KUTOA KINGA YA HIFADHI YA JAMII KWA WANACHAMA WA VICOBA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/80HUFF25OCB5971rFs3cgh2yzpDfEv*rfCloEiw-YTHoysBjMIqVSPWRgym*4-k10k9Lorqb5uzCbg96snCiH8yy*BfMHkDJ/FRONT.jpg?width=650)
MKE ACHINJWA KISA KWENDA SALUNI