MFUKO WA GEPF KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA VICOBA WA UYACODE KATIKA KUTOA KINGA YA HIFADHI YA JAMII KWA WANACHAMA WA VICOBA
Mratibu wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akimkaribisha mgeni rasmi wa uzinduzi wa Kana vicoba Group Bw Aloyce Ntukamazina kwa kumueleza machache kabla ya uzinduzi rasmi, aliye katikati ni meneja wa GEPF mkoa wa kinondoni Bw Mohammed Nyallo.
Mratibu wa Umoja wa Vikoba wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akelezea mafanikio na matarajio ya Umoja wa Uyacode wenye jumla ya wanachama 27,000 na ofisi katika mikoa 18 ya Tanzania Bara na mmoja wa Zanzibar
Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWAZIRI WA KAZI NA AJIRA MH. GAUDENTIA KABAKA ATEMBELEA BANDA LA GEPF NA KUSIFU UBUNIFU WA MFUKO WA GEPF KATIKA KUTOA HIFADHI YA JAMII KWA WAJASIRIAMALI
11 years ago
Tanzania Daima14 Jul
Wanachama vicoba washauriwa
WANACHAMA wa vikundi vya kuweka na kukopa (VIKOBA) mkoani Arusha wametakiwa kupanga na kutumia vizuri fedha wanazokusanya ili ziwasaidie kutoka daraja moja hadi jingine katika maisha yao. Kauli hiyo ilitolewa...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA wazinduliwa mjini Dodoma
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Michuzi
MFUKO WA PENSHENI WA PSPF, TPB KWA KUSHIRIKIANA NA PROPERTY INTERNATIONAL LIMITED WAZINDUA MPANGO WA KUWAKOPESHA VIWANJA WANACHAMA WA MFUKO HUO

11 years ago
GPLWATANZANIA WAISHIO BOTSWANA WAVUTIWA NA KUJIUNGA KWA WINGI KATIKA GEPF DIASPORA SCHEME (GDS) ULIOANZISHWA MAALUM KWA WATANZANIA WAISHIO NJE NA MFUKO WA GEPF.
10 years ago
GPLGEPF KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA MAGEREZA KUWEKEZA KWA PAMOJA KATIKA UJENZI WA ‘SHOPPING MALLS’ KATIKA MIKOA YA MOROGORO NA KILIMANJARO
10 years ago
MichuziMFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAENDELEA NA ZOEZI LA KUTOA ELIMU KWA WADAU WA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA
11 years ago
GPLMFUKO WA PENSHENI WA GEPF WAPATA WANACHAMA WAPYA WA KUNDI LA WASANII WA FILAMU.