Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA wazinduliwa mjini Dodoma

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati alipozindua Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Septemba 25, 2014. Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) akifurahia zawadi ya kitenge alichokabidhiwa na Rais wa VOCOBA nchini , Devota Likokola (kushoto) kwa niaba ya wanachama wa Mfuko wa CCM Mshikamano VICOBA katika uzinduzi wa mfuko huo kwenye ukumbi wa White House mjini Dodoma Septemba 25, 2014. Katikati ni Naima Malima, mke wa Naibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA GEPF KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA VICOBA WA UYACODE KATIKA KUTOA KINGA YA HIFADHI YA JAMII KWA WANACHAMA WA VICOBA

Mratibu wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akimkaribisha mgeni rasmi wa uzinduzi wa Kana vicoba Group Bw Aloyce Ntukamazina kwa kumueleza machache kabla ya uzinduzi rasmi, aliye katikati ni meneja wa GEPF mkoa wa kinondoni Bw Mohammed Nyallo.Mratibu wa Umoja wa Vikoba wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akelezea mafanikio na matarajio ya Umoja wa Uyacode wenye jumla ya wanachama 27,000 na ofisi katika mikoa 18 ya Tanzania Bara na mmoja wa Zanzibar Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENISHENI WA PSPF WAMALIZIKA LEO MJINI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi, akitoa mada, kuhusu benki hiyo inavyoweza kuwasaidia wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutokana na ushikiano wa kibiashara baina ya taasisi nhizo mbili, wakati wa mkutani mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma. Mkutano huo wa siku mbili umefungwao Alhamisi Februari 19, 2015.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisikiliza kwa makini majadiliano ya wanachama na wadau wa Mfuko huo wakati wa...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (Kushoto) akizindua huduma mpya itolewayo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ya Fao la Uzazi, mwanzoni mwa mkutano mkuu wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma jana. Wanaoshuhudia kutoka kulia, ni naibu waziri wa fedha, Adam Malima, Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko huo, GHeorge Yambesi, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, na mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (Kushoto) akizindua huduma mpya itolewayo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ya Fao la Uzazi, mwanzoni mwa mkutano mkuu wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma jana. Wanaoshuhudia kutoka kulia, ni naibu waziri wa fedha, Adam Malima, Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko huo, GHeorge Yambesi, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, na mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Nne wa Wadau na Wanachama wa...

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

10 years ago

Michuzi

Mfuko wa uwekezaji wa pamoja wazinduliwa nchini

 Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Core Securities Limited, Bw. George Fumbuka akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Umande Unit Trust (UTT), mfuko wa uwekezaji wa pamoja utakaowawezesha wakezaji wengi kukusanya mitaji yao kwa pamoja ili kupata mtaji mkubwa zaidi. Ameambatana na Meneja uendeshaji wa kampuni hiyo Bw. Jonathan Swalala (Kulia) na Meneja Mahusiano ya Wawekezaji, Bi. Sandra Felician (kushoto). UUT ni mfuko wa pili wa pamoja kusajiliwa nchini, kufuatia...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI KUU YA CCM LEO MJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo Agosti, 11, 2015 katika ukumbi wa Jengo la White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.  Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo Agosti, 11, 2015 katika ukumbi wa Jengo la White House Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.  Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani