MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENISHENI WA PSPF WAMALIZIKA LEO MJINI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi, akitoa mada, kuhusu benki hiyo inavyoweza kuwasaidia wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutokana na ushikiano wa kibiashara baina ya taasisi nhizo mbili, wakati wa mkutani mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma. Mkutano huo wa siku mbili umefungwao Alhamisi Februari 19, 2015.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisikiliza kwa makini majadiliano ya wanachama na wadau wa Mfuko huo wakati wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA
10 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA

10 years ago
Michuzi
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
PINDA agungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF — Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF baada ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Februari 18, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Rasirimaliwatu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ernest Maalugu, ikiwa ni heshima kwa wizara hiyo kutokana na umakini wa hali ya juu katika kuwasilisha makto ya michango ya watumishi wake kwa Mfuko wa...
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
PINDA afungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF — Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF baada ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Februari 18, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Rasirimaliwatu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ernest Maalugu, ikiwa ni heshima kwa wizara hiyo kutokana na umakini wa hali ya juu katika kuwasilisha makto ya michango ya watumishi wake kwa Mfuko wa...
11 years ago
Michuzi
Mkutano wa 24 wa Mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wamalizika leo jijini Arusha

10 years ago
Michuzi
MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF WAMALIZIKA LEO JIJINI ARUSHA

11 years ago
Michuzi
MKUTANO MKUU WA TATU WA WADAU WA PSPF WAFANYIKA JIJINI DAR LEO