Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkutano Mkuu wa Nne wa wadau wa PSPF Kufanyika Februari 18 - 19, 2015 mjini Dodoma


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (Kushoto) akizindua huduma mpya itolewayo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ya Fao la Uzazi, mwanzoni mwa mkutano mkuu wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma jana. Wanaoshuhudia kutoka kulia, ni naibu waziri wa fedha, Adam Malima, Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko huo, GHeorge Yambesi, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, na mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (Kushoto) akizindua huduma mpya itolewayo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ya Fao la Uzazi, mwanzoni mwa mkutano mkuu wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma jana. Wanaoshuhudia kutoka kulia, ni naibu waziri wa fedha, Adam Malima, Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko huo, GHeorge Yambesi, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, na mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Nne wa Wadau na Wanachama wa...

 

10 years ago

Michuzi

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENISHENI WA PSPF WAMALIZIKA LEO MJINI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi, akitoa mada, kuhusu benki hiyo inavyoweza kuwasaidia wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutokana na ushikiano wa kibiashara baina ya taasisi nhizo mbili, wakati wa mkutani mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma. Mkutano huo wa siku mbili umefungwao Alhamisi Februari 19, 2015.Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, akisikiliza kwa makini majadiliano ya wanachama na wadau wa Mfuko huo wakati wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

PINDA agungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF — Dodoma

PG4A1227

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF  baada   ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma  Februari  18, 2015.

PG4A1225

PG4A1153

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo  Kaimu Mkurugenzi  Msaidizi  wa Rasirimaliwatu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ernest Maalugu, ikiwa ni heshima kwa wizara  hiyo kutokana na umakini wa hali ya juu katika kuwasilisha makto ya michango ya watumishi  wake kwa Mfuko wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

PINDA afungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF — Dodoma

PG4A1227

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF  baada   ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma  Februari  18, 2015.

PG4A1225

PG4A1153

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo  Kaimu Mkurugenzi  Msaidizi  wa Rasirimaliwatu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ernest Maalugu, ikiwa ni heshima kwa wizara  hiyo kutokana na umakini wa hali ya juu katika kuwasilisha makto ya michango ya watumishi  wake kwa Mfuko wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mkutano wa Trévo kufanyika hoteli ya Serena jijini Dar Februari 27, 2015

Karibu kwenye mkutano wa Trevo utakaifanyika Dar es salaam tarehe 27 Feb kuanzia SAA kumi jioni.kiingilio ni bure.Karibu kusikiliza fursa ya biashara toka kwa Mark Stevens ,mwanzilishi wa Trévo . Kutakuwa na mkutano pia mkiani Arusha tarehe 28 Feb

 

11 years ago

Michuzi

TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA WADAU PSPF

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

TANGAZO LA MKUTANO MKUU WA WADAU  Mfuko wa Pensheni wa  PSPF unatangaza kwamba kutakuwa na Mkutano Mkuu wa tatu wa wadau utakaofanyika tarehe 26 na 27  Februari 2014 kuanzia saa mbili na nusu asubuhi hadi saa kumi jioni katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere uliopo barabara ya Shaban Robert  jijini Dar es salaam.
Madhumuni ya Mkutano huu ni kutoa taarifa ya hesabu ya mwaka na utendaji wa Mfuko na kutathmini mafanikio na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani