WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (Kushoto) akizindua huduma mpya itolewayo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ya Fao la Uzazi, mwanzoni mwa mkutano mkuu wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma jana. Wanaoshuhudia kutoka kulia, ni naibu waziri wa fedha, Adam Malima, Mwenyekiti wa bodi ya Mfuko huo, GHeorge Yambesi, Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, na mkuu wa mkoa wa Dodoma, Chiku Galawa.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Nne wa Wadau na Wanachama wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WAZIRI MKUU AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF MJINI DODOMA
10 years ago
Dewji Blog19 Feb
PINDA afungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF — Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF baada ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Februari 18, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Rasirimaliwatu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ernest Maalugu, ikiwa ni heshima kwa wizara hiyo kutokana na umakini wa hali ya juu katika kuwasilisha makto ya michango ya watumishi wake kwa Mfuko wa...
10 years ago
Michuzi
MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA PENISHENI WA PSPF WAMALIZIKA LEO MJINI DODOMA


10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa hotuba yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mh. Pinda awewasihi wasomi nchini pamoja na watanzania kuacha fikra ya kusubiri kuajiriwa mara wanapomaliza vyuo badala yake wajiajiri wenyewe ili waweze kukabiliana na changamoto za maisha.

Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
PINDA agungua mkutano wa nne wa mfuko wa PSPF — Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Nne wa PSPF baada ya kufangua mkutano huo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Saint Gaspar mjini Dodoma Februari 18, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Tuzo Kaimu Mkurugenzi Msaidizi wa Rasirimaliwatu, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ernest Maalugu, ikiwa ni heshima kwa wizara hiyo kutokana na umakini wa hali ya juu katika kuwasilisha makto ya michango ya watumishi wake kwa Mfuko wa...
11 years ago
Dewji Blog23 Jul
Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua Mkutano wa Tathmini ya Utekelezaji wa BRN
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Prof. Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Mhandisi, Bashir Mrindoko.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia...
10 years ago
Michuzi.jpg)
WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AWASILI MJINI DODOMA
.jpg)
.jpg)