Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABA AKIMBIA FAMILIA BAADA YA MKE KUPOOZA

Na Haruni Sanchawa
MAMA mmoja Aisha Ramadhani (26),  mkazi  wa Gongo la Mboto , Ilala jijini Dar es Salaam amedai kuwa amekimbiwa na mume aliyemtaja kwa jina Athuman Hussein baada ya kupooza kwa miaka miwili. Aisha Ramadhani anayedai kutorokwa na mumewe baada ya kupooza. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita huku akibubujikwa na machozi , mama huyo wa mtoto mmoja alisema anateseka kwa miaka miwili sasa na amehangaika...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KISA VICOBA, MKE AKIMBIA NDOA!

MAKUBWA! Mke aliyetajwa kwa jina la Hawa Mussa (20), mkazi wa Yombo - Buza, Dar amelalamikiwa na mumewe Abdul Aziz, kwamba amekimbia kwenye ndoa yao baada ya kumfokea kwa kosa la kuchelewa kurudi kutoka kwenye Vicoba.  Hawa Mussa na mumewe siku ya harusi yao. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati jijini Dar, mume huyo alisema mkewe aliondoka nyumbani baada ya kumuonya kutokana na mwenendo wake kubadilika sanjari na kuwa na...

 

9 years ago

GPL

NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA

Richard Bukos Hii kali! Njemba mmoja ambaye jina halikupatikana amekula kipigo mbele ya mkewe ambaye alifanikiwa kukimbia baada ya kudaiwa kufanya jaribio la kuingia kwenye onesho la Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ kwa kutumia tiketi feki, Ijumaa lina kisa na mkasa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PWCUDc

 

9 years ago

Mwananchi

Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia

Mwanamke kazi wa Kijiji cha Mgunga, wilayani Igunga, Gama Jilala ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.

 

10 years ago

Habarileo

Mkulima 'baba’ wa familia ya watu 92

LICHA ya kutegemewa na familia kubwa ya watu 92, mkulima bora wa Wilaya ya Mlele, Katindi Mayogala (80), ametamba kuwa, ana akiba ya chakula inayoweza kuitosheleza familia yake kwa miaka mitatu mfululizo. Mayogola anayetajwa kuwa ni rafiki mkubwa wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, ana wake wanne, watoto 42 wa kuwazaa, wajukuu na vitukuu wanaofikia 50, wote wakiishi katika kijiji eneo la Tupido, Kata ya Mbede alikoweka makazi yake yenye umaarufu mkubwa kwa jina la `Katindi Kilimo Kwanza Group’,...

 

11 years ago

GPL

H BABA: GAZETI NDIYO LILINIPA MKE

H Baba na mkewe Flora Mvungi wakihojiwa ndani ya Global TV Online. MFALME wa miondoko ya Takeu, Hamis Ramadhan ‘H Baba’ amefunguka kuwa gazeti (la Global Publishers) lilikuwa kigezo kikuu cha yeye kumtia mikononi, mkewe muigizaji, Flora Mvungi. WASIKILIZE H BABA NA MKEWE FLORA MVUNGI WALIPOLONGA NA GLOBAL TV ONLINE NDANI YA MTU KATI Akizungumza na Global TV Online kwenye kupitia Kipindi cha Mtu… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Baba wa familia iliyoteketea: Ningeona miili nami ningekufa

Baba wa familia iliyoteketea kwa moto ndani ya nyumba walimokuwa wamelala, jijini Dar es Salaam, Masoud Mattar Masoud (59) amesema kama angeona miili ya familia yake, naye angekufa.

 

11 years ago

Michuzi

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU

1Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kiushi katika mazingira magumu , ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo, huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo katika...

 

10 years ago

Dewji Blog

Familia ya Edward Moringe Sokoine wafanya misa ya kumkumbuka baba yao

 

Familia aliye kuwa waziri mkuu wa Tanzania hayati Edward Moringe Sokoine wakiwa katika ibada maalumu ya maadhimisho ya kifo chake nyumbani kwake Monduli juu, siku ambayo huadhimishwa April 12 kila mwaka.

Wake wa aliye kuwa Waziri mkuu  wa Tanzania  hayati Edward Moringe Sokoine, wakiweka  mashada ya maua kwenye kaburi la  mume wao nyumbani kwake eneo la Monduli Juu wilayani Monduli mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya siku ya kifo chake siku ambayo huadhimishwa April 12 kila...

 

10 years ago

Bongo5

H.Baba na mke wake Flora Mvungi watapeana tuzo Jumamosi hii

Baada ya kudai kunyimwa nafasi ya kupewa tuzo na waandaji wa tuzo mbalimbali nchini, H.Baba na mke wake Flora Mvungi, Jumamosi hii ndani ya hoteli ya Giraffe Ocean View wanatajia kupeana tuzo wao kwa wao. Akizungumza na Bongo5, H.Baba amesema kuna mashabiki wao wengi wanapenda kuwaona wakipewa tuzo hali ambayo haijawahi kutokea. “Hizi ni tuzo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani