Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU

1Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kiushi katika mazingira magumu , ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo, huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE

1Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete,Bi. Arafa Mohammed (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Vyombo vya ndani na Tende mzee Said Khamis Mnyika wa kijiji cha Changarikwa kata ya Mbwewe kama zawadi ya mbunge huyo katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan kwa familia zenye mahitaji muhimu kutokana na kuishi katika mazingira magumu.ambapo vifaa vya ndani pamoja na Tende zitatolewa kwa familia zipatazo 600 katika kata zote za jimbo hilo.

Huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo...

 

11 years ago

GPL

MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE‏

Arafa Mohammed Mke wa Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete(kushoto) akimkabidhi zawadi ya vyombo vya ndani na Tende Mzee Ahmad Ramadhan mmoja wa wazee wa kijiji cha Changarikwa wakati alipotoa zawadi hizo kwa familia zenye mahitaji muhimu katika kata ya Mbwewe jana.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa jimbo la Temeke Abbas Mtemvu atoa misaada kwa watu wenye mahitaji maalum Dar

Baadhi ya misaada mbalimbali  iliyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu kwa watu wenye mahitaji maalum.(Picha zote na Khamisi Mussa).

Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu  akizungumza na walezi wa watu wenye mahitaji maalum, wakati Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu  alipokabidhi misaada ya vitu mbalimbali, vikiwemo vyakula, mafuta ya kula, magodoro na kompyuta ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge...

 

11 years ago

Michuzi

MBUNGE NAMELOK AGAWA MISAADA

DSCF2464Mbunge viti maalum Mkoa wa Arusha Namelok Sokoine akiwasili katika viwanja vya kituo cha huduma ya walemavu cha kanisa katoliki jimbo kuu Arusha,Monduli jana kwa ajili ya kugawa misaada mbalimbali.  DSCF2485Mbunge wa Viti maalum Namelok  akimjulia hali mtoto mwenye ulemavu wa utindio wa ubongo kituoni hapo. DSCF2533 Namelok akikabidh msaada huo kwa Mratibu wa kituo cha watoto walemavu Monduli,Bi Mireile Kapilima. DSCF2517Katibu wa UWT Mkoa wa Arusha Stamili Dendegu akimuendesha mtoto mwenye ulemavu wa miguu...

 

10 years ago

Michuzi

MTEMVU ATOWA MISAADA KWA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM JIJINI DAR ES SALAAM

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu akikabidhi misaada kwa Mlezi wa kituo cha Makao ya Taifa ya watoto wenye shida maalum cha kurasini  Beatrice Mgumilo
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu ametoa msaada wa vitu mbalimbali vya nafaka na magodoro pamoja na kompyuta kwa Yamoto Band ambapo jumla ya vikundi kumi na vitatu vimepatiwa misaada mbalimbali na mbunge huyo.
mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation , Sitti Mtemvu  akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza Bibi Maryam Seif agawa misaada kwa yatima kurasini

 Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza, Bibi Maryam Seif akigawa misaada hiyo kwa  watoto hao yatima wa  kituo cha Kurasin jijini  Dar es salaam  Bibi Maryam Seif, akiendelea kugawa misaada kwa watoto hao yatima wa Kurasini.   Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza, Bibi Maryam Seif,  akimkabidhi misaada hiyo mlezi wa  watoto hao yatima wa  kituo cha Kurasin jijini Dar es salaam Bibi Maryam Seif, akiwa na baadhi ya watoto hao yatima wa...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge agawa viatu kwa wanafunzi 48,600

JUMLA ya watoto 48,600 wa shule za msingi katika halmashauri ya Bumbuli, wilayani Lushoto wameanza kufaidika na mgawo wa jozi za viatu uliotolewa na Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mafuta ya kupikia ya MO SAFI kwa mahitaji bora ya vyakula kwenye familia yako!!

11173318_715091675287121_403970394052586402_nBurger bomba  kama hii ya kuvutia iliyotengenezwa kwa mafuta bora ya Mo Safi,  zenye ufahari kutoka MeTL Group.

Je? umeshatumia bidhaa bora kutoka MO!! pata sasa zipo karibu nawe  NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG

Kampuni ya MeTL Group  imekuwa ni kati ya makampuni bora ndani  na nje ya Tanzania kwa kukuletea bidhaa bora kwa mahitaji sahihi  na ya matumizi na afya yako. Leo kupitia Modewji blog, tunakuletea kwa kifupi namna ya mafuta ya kupikia kutoka MeTL Group, MO Safi yatakavyopendezesha mlo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani