Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE DK RITTA KABATI AGAWA MSAADA WA BAISKELI 212 KWA VIONGOZI WA KATA WA UWT MKOA WA IRINGA


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RITTA KABATI awataka wakinamama kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu

   Mbunge wa viti maalumu Iringa mjini RITTA KABATI
Na Mariamu Matundu, Iringa 
Mbunge wa viti maalumu Iringa mjini RITTA KABATI  amewataka wakinamama kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi wa kumi mwaka huu. KABATI ameeleza kuwa wanawake waondoe hofu ya kugombea hasa kukiwa na ushindani wa wagombea wanaume kwa kuogopa kuchafuliwa kwa mambo yasiyokuwepo.Ameendelea kusema kuwa wananchi wasishawishiwe na propaganda za wanasiasa na badala...

 

11 years ago

Michuzi

NMB YATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA UPEPO MKALI KATA YA IZAZI MKOANI IRINGA

 Meneja wa Tawi la NMB Mkwawa,Sumka Mbuba pamoja na  Afisa Mikopo Grace Ndosa  wakishusha vyakula vyenye thamani ya shilingi milioni tano kutoka kwenye gari ili kukabidhi kwa waathilika wa upepo mkali ulioacha familia nyingi bila makazi na chakula katika kata ya Izazi mkoani Iringa. Msaada huo ulitolewa na Benki ya NMB. Maofisa wa benki ya NMB tawi la Mkwawa wakikabidhi sehemu ya msaada wa vyakula kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iringa vijijini, Stevene Mhapa (Pili kushoto). Msaada huo...

 

9 years ago

StarTV

UWT Mkoa wa Iringa chaunga mkono zoezi la utumbuaji  majipu

 

Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi UWT mkoa wa Iringa umeuomba Uongozi wa Rais wa awamu ya tano Dokta John Magufuli kuendelea kuibua maovu yaliyofichika katika zoezi la utumbuaji wa majipu kwa madai kuwa unaziunga mkono jitihada hizo.

UWT mkoa wa Iringa umesema kauli mbiu ya “Kutumbua Majibu” imelenga kuleta tija kwa kundi kubwa la watanzania ambalo kilio chao kikuu ni hali ngumu ya uchumi.

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake wa chama cha mapinduzi UWT  Mkoa wa Iringa, Zainabu Mwamwindi...

 

10 years ago

Habarileo

Mbunge agawa viatu kwa wanafunzi 48,600

JUMLA ya watoto 48,600 wa shule za msingi katika halmashauri ya Bumbuli, wilayani Lushoto wameanza kufaidika na mgawo wa jozi za viatu uliotolewa na Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba.

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: CCM WASHINDA KATA ZOTE TATU MKOA WA IRINGA, CHADEMA YASHINDA NJOMBE MJINI

 Wafuasi wa CCM Iringa  wakimpongeza kaimu katibu  wa CCM mkoa wa Iringa Hassan Mtenga kwa kufanikisha  chama  hicho kushinda  uchaguzi mdogo kata ya  Nduli. Wafuasi wa CCM kata ya Nduli  wakiwa  wamemnyanya  juu  juu  aliyekuwa mgombea  udiwani kata ya Nduli Bw Mtove  baada ya  matokeo kumpa ushindi wa kishindo leo  ........................... CHAMA  cha  mapinduzi (CCM)  mkoa  wa  Iringa  kimefanikiwa  kutetea kata  zake  zote tatu ambazo  leo   wananchi  wameshiriki  kupiga kura ...

 

9 years ago

Vijimambo

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MKOA WA SIMIYU NA MAJIMBO YAKE(KATA KWA KATA) MWIGULU NCHEMBA AKIOMBA KURA ZA URAIS,UBUNGE NA UDIWANI

Hisia za Mwananchi katika maandishi "Magufuli Chaguo la Mungu".MwanaCCM akionesha kipeperushi cha Magufuli na Mama Samia Suluhu kuwa ndio Uongozi unaokwenda Kuchaguliwa na Watanzania.Wananchi wapotayari kuchagua CCM kwa nafasi zote tatu(Udiwani,Ubunge na Urais).Mwigulu Nchemba akiondoka Jimbo la Maswa Mashariki kumnadi Ndg.Nyongo mbunge mtarajiwa wa Chama cha Mapinduzi."CCM mambo yapo Poaaaa!!!"Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano akiwa na Mbunge wa Jimbo la Kisesa Ndg.Mpina.Mbunge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani