MBUNGE NAMELOK AGAWA MISAADA
Mbunge viti maalum Mkoa wa Arusha Namelok Sokoine akiwasili katika viwanja vya kituo cha huduma ya walemavu cha kanisa katoliki jimbo kuu Arusha,Monduli jana kwa ajili ya kugawa misaada mbalimbali.
Mbunge wa Viti maalum Namelok akimjulia hali mtoto mwenye ulemavu wa utindio wa ubongo kituoni hapo.
Namelok akikabidh msaada huo kwa Mratibu wa kituo cha watoto walemavu Monduli,Bi Mireile Kapilima.
Katibu wa UWT Mkoa wa Arusha Stamili Dendegu akimuendesha mtoto mwenye ulemavu wa miguu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi14 Jul
MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/119.jpg)
11 years ago
Michuzi14 Jul
MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/119.jpg)
Huu ni mwendelezo wa shughuli za mbunge huyo...
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/07/215.jpg?width=650)
MKE WA MBUNGE WA CHALINZE AGAWA MISAADA KWA FAMILIA ZENYE MAHITAJI MUHIMU CHALINZE
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-4lkzlAq9Z6E/UxrTbgBV83I/AAAAAAAFR5k/XS2fO-BuJC0/s72-c/unnamed+(6).jpg)
Mwenyekiti wa CCM shina la Essex Uingereza Bibi Maryam Seif agawa misaada kwa yatima kurasini
![](http://1.bp.blogspot.com/-4lkzlAq9Z6E/UxrTbgBV83I/AAAAAAAFR5k/XS2fO-BuJC0/s1600/unnamed+(6).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-88-CWoVkc40/UxrTbsz7DVI/AAAAAAAFR54/GdJISt3sBho/s1600/unnamed+(7).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-qo5qFFL7Edg/UxrTb9NzD4I/AAAAAAAFR5o/7GD2AzLUy2Q/s1600/unnamed+(8).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-1UwIa9b-pbw/UxrTcdkdpeI/AAAAAAAFR5w/BEL-FZlrVM0/s1600/unnamed+(9).jpg)
10 years ago
Habarileo29 Oct
Mbunge agawa viatu kwa wanafunzi 48,600
JUMLA ya watoto 48,600 wa shule za msingi katika halmashauri ya Bumbuli, wilayani Lushoto wameanza kufaidika na mgawo wa jozi za viatu uliotolewa na Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba.
9 years ago
Habarileo03 Dec
Mbunge agawa mbegu za tangawizi kukuza uchumi
MBUNGE wa Madaba, Songea Vijijini, Joseph Mhagama amesema njia rahisi ya kuwainua wananchi ni kutafuta mazao ambayo wakiuza yanaweza kutatua matatizo yao kwa haraka.
5 years ago
CCM Blog29 May
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YxdEdNdiwyk/XtTwHa5Np1I/AAAAAAALsNU/uQbZKNlTeRg1STYEpA1wRYfXJ1FXI4-dgCLcBGAsYHQ/s72-c/15daca47-aa51-48ee-ad76-fbf4b11998ef.jpg)
MBUNGE MAVUNDE AGAWA VIFAA VYA KUJIKINGA NA COVID-19 KWA SHULE ZOTE ZA SEKONDARI JIJINI DODOMA.
![](https://1.bp.blogspot.com/-YxdEdNdiwyk/XtTwHa5Np1I/AAAAAAALsNU/uQbZKNlTeRg1STYEpA1wRYfXJ1FXI4-dgCLcBGAsYHQ/s640/15daca47-aa51-48ee-ad76-fbf4b11998ef.jpg)
Mavunde amekabidhi leo vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya Tsh 2,000,000 kwa wakuu wa Shule za Sekondari katika eneo la Jiji ya Dodoma ikiwa ni siku ya kwanza kwa wanafunzi wa kidato cha sita kurejea tena shuleni baada ya agizo la Mh Rais Dr John Pombe Magufuli kuhusu kufunguliwa tena kwa...
5 years ago
MichuziMBUNGE KINGU ATOA MISAADA MBALIMBALI JIMBONI KWAKE
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo vifaa mbalimbali kwa ajili ya kupambana na Virusi vya Corona Wilayani humo jana. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindunzi (CCM) wa Wilaya hiyo, Mika Likapakapa na Mkurugenzi wa wilaya hiyo, Justice Kijazi.
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Edward Mpogolo, akimshukuru Kingu baada ya kupokea msaada huo. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindunzi (CCM) wa Wilaya hiyo,...