NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA
![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiGP58buB3cEiQ6bzMgnDvys0ULhmdX1C5ts3JFnEdP*95Nouzv3wBOnFI0gBgg7XOuJHVUQ8xpbj7GdrbJm7Fxy/Kipigo.gif?width=650)
Richard Bukos Hii kali! Njemba mmoja ambaye jina halikupatikana amekula kipigo mbele ya mkewe ambaye alifanikiwa kukimbia baada ya kudaiwa kufanya jaribio la kuingia kwenye onesho la Bendi ya FM Academia ‘Wazee wa Ngwasuma’ kwa kutumia tiketi feki, Ijumaa lina kisa na mkasa.  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1PWCUDc
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KkxqEnBJGWD2N4dw12zh3jNlqLlfrftKRYWgqeiKT8bxzs9jx25AhVJW2fIZk3a0adpXMSYcOHy4QzSGanpiQSAPyzuoUQ48/Kichapo.gif?width=650)
KISA HAUSIGELI, NJEMBA ALA KICHAPO
TIMBWILI! Njemba mmoja mkazi wa Kisimani mjini Tunduma wilayani Momba, Mbeya ambaye jina lake halikupatikana mara moja, amejikuta akila kichapo kisa, kudaiwa kumtorosha msichana wa kazi ‘hausigeli’ wa mtu. Tukio hilo lililokusanya watu kibao, lilijiri juzikati katika maeneo hayo baada ya vijana hao kumtuhumu kijana huyo kwamba amemficha msichana huyo ambaye bosi wake aitwaye Johnson alikuwa akimtafuta.  ....Soma...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6nrkNSKIZhKI-F2Qy64*s8qp1Pyj0ZSoejoc7Hz*Y-6pemnS5DlOb0DFbygUVPZDyARwfdhS9nB6UCIa9M-ykMp/njemba3.gif?width=650)
NJEMBA ALA KIBANO KWA KUJIFANYA WAKALA WA MATANGAZO GLOBAL, TBC
Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima KIBANO! Tapeli aliyejitambulisha kwa jina la Faustine Mwita ametiwa nguvuni kwa shitaka la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, Risasi Mchanganyiko lina mkoba wenye ripoti nzima.
Hii ni kazi nyingine nzuri ya OFM kwa kushirikiana na polisi ambao walimkamata jamaa huyo anayejifanya wakala wa matangazo wa Kampuni ya Global Publishers na Shirika la Utangazaji Tanzania...
9 years ago
MichuziMTOTO HAPPY LIMWAMWA (9-10) AKIMBIA KIPIGO ALIPOKUWA AKIFANYA KAZI ZA NDANI NJOMBE
Happy ambaye ameokotwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bryceson Mgaya wa...
10 years ago
VijimamboMwenyekiti kwa Pinda ala kipigo
Polisi wamuokoa, akwama kuapishwa
Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa wa Kigogo Fresh B , Mariano Bungala (CCM), akisaidiwa na askari Polisi baada ya kuvamiwa na kundi la wananchi jijini Dar es Salaam baada ya kutaka kuingia kwenye ukumbi wa Manispaa ya Ilala wa Arnatoglou jana kuapishwa kwa madai uchaguzi haukufanyika katika mtaa huo baada ya kuahirishwa .
Uapishaji wenyeviti wa serikali za mitaa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kwa mara nyingine umekumbwa na vurugu zilizosababisha...
Uapishaji wenyeviti wa serikali za mitaa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kwa mara nyingine umekumbwa na vurugu zilizosababisha...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOTW6a5PmQTcU1ydoGE5DQNRUm3XUv92mVJqp-ROminobGl6B09ZYFrC99igbHGtIIUiei4iK0gtY5hSA-Wf3bmiZLQjnZF0/mhhalivyorembwa.jpg?width=650)
KISA VICOBA, MKE AKIMBIA NDOA!
MAKUBWA! Mke aliyetajwa kwa jina la Hawa Mussa (20), mkazi wa Yombo - Buza, Dar amelalamikiwa na mumewe Abdul Aziz, kwamba amekimbia kwenye ndoa yao baada ya kumfokea kwa kosa la kuchelewa kurudi kutoka kwenye Vicoba. Hawa Mussa na mumewe siku ya harusi yao. Akizungumza na mwandishi wetu juzikati jijini Dar, mume huyo alisema mkewe aliondoka nyumbani baada ya kumuonya kutokana na mwenendo wake kubadilika sanjari na kuwa na...
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Mke auawa kwa mapanga, mume akimbia
Mwanamke kazi wa Kijiji cha Mgunga, wilayani Igunga, Gama Jilala ameuawa kwa kukatwa mapanga na watu wasiojulikana.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-Swp1IsPfCyEiaYp8RYFQjdW3wDp-C2hqEw3kO4Kw*QtfI2GDyBEznAqVaIbp5djDqBDX1cqqCwYIJ0Wh7e1AIR/Hawa.jpg)
BABA AKIMBIA FAMILIA BAADA YA MKE KUPOOZA
Na Haruni Sanchawa
MAMA mmoja Aisha Ramadhani (26), mkazi wa Gongo la Mboto , Ilala jijini Dar es Salaam amedai kuwa amekimbiwa na mume aliyemtaja kwa jina Athuman Hussein baada ya kupooza kwa miaka miwili. Aisha Ramadhani anayedai kutorokwa na mumewe baada ya kupooza. Akizungumza na gazeti hili wiki iliyopita huku akibubujikwa na machozi , mama huyo wa mtoto mmoja alisema anateseka kwa miaka miwili sasa na amehangaika...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3ydo-rPuK9rt3empT5Odq9rT4cmZpThBA9l7vL3VKMcPUiDNyXvnPhJz9oDB1HmfbfdGj0ETofH89O1hXVw1zBoiAtlP9s6k/Mke.jpg?width=650)
MKE WA D.K SLAA ALA BATA U.S.A
Josephine Mushumbusi, mke wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Peter Slaa anadaiwa kula bata za hatari nchini Marekani (United States of Amerika au U.S.A) akiwa na familia yake, Amani limenyaka maisha yake nyuma ya pazia. Â ....Soma zaidi====> http://bit.ly/1Mda6F8
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DkRfQoehpOqE4UarTE84GzH7CpXCuqRFqMMEjCQh9Bueg-a7Hp3OmJLnb4rtq7Q2kPhIiK9UDs97Ixid8yVwFHBXvoY0hLoo/ukwad.jpg)
NJEMBA ACHEZEA KICHAPO: KISA UKUWADI KWA MKE WA MTU!
Stori:Â Issa Mnally
Adabu ishike mkondo wake! Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose amejikuta akichezea kichapo ‘hevi’ kilichomsababishia kuvunjika pua kwa tuhuma ya ukuwadi wa mke wa mtu, Ijumaa Wikienda lilikuwepo eneo la tukio. Njemba aliyetajwa kwa jina moja la Jose akivuja damu baada ya kipigo. Msala huo wa aina yake ambao ulivuta umati mkubwa ulijiri wikiendi iliyopita maeneo ya Makumbusho jijini Dar...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania