MKE WA D.K SLAA ALA BATA U.S.A
![](http://api.ning.com:80/files/3ydo-rPuK9rt3empT5Odq9rT4cmZpThBA9l7vL3VKMcPUiDNyXvnPhJz9oDB1HmfbfdGj0ETofH89O1hXVw1zBoiAtlP9s6k/Mke.jpg?width=650)
Josephine Mushumbusi, mke wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Peter Slaa anadaiwa kula bata za hatari nchini Marekani (United States of Amerika au U.S.A) akiwa na familia yake, Amani limenyaka maisha yake nyuma ya pazia. Â ....Soma zaidi====> http://bit.ly/1Mda6F8
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wElhaJF9fXJ6Lax7*FEH1UrseW1keH140*RrGgTnWm2ULROauAEt9ctM1yYT3bJV0UG1KQiqCYawDDhox6Oq1KdncuvxyL--/jide.gif?width=650)
JIDE ALA BATA CHINA!
9 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
10 years ago
Bongo508 Feb
Jino kwa Jino? Ex wa Zari ala bata na Wema South, mpambe asema ‘What goes around comes around (Picha)
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BKb27P3JwiGP58buB3cEiQ6bzMgnDvys0ULhmdX1C5ts3JFnEdP*95Nouzv3wBOnFI0gBgg7XOuJHVUQ8xpbj7GdrbJm7Fxy/Kipigo.gif?width=650)
NJEMBA ALA KIPIGO, MKE AKIMBIA
10 years ago
Mwananchi07 Aug
Mke wa Dk Slaa afunguka
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Mke wa Dk. Slaa Amwaga mboga
AZIZA MASOUD NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KWA vijana wa mjini, wanaweza kusema kwamba alichofanya Dk. Willibrod Slaa juzi kwa kuachana na siasa na kurusha tuhuma kwa chama chake, ni sawa na kumwaga ugali, na majibu aliyotoa mkewe wa kwanza, Rose Kamili jana, ni sawa na kumwaga mboga.
Mke huyo aliyedai kutelekezwa na Dk. Slaa mwaka 2010 pamoja na watoto, alisema kiongozi huyo ni mwongo na ni dhaifu kwa wanawake.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Rose alisema...
10 years ago
Mtanzania31 Mar
Polisi wamhoji mke wa Dk. Slaa
Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
MKE wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Josephine Mushumbusi amehojiwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, kuhusu tuhuma za mauaji zinazomkabili mume wake Dk. Wilibrod Slaa.
Katika mahojiano hayo, Mushumbusi alitoa maelezo pamoja na kuelezea tukio la Dk. la kutaka kuwekewa sumu na mlinzi wake Khalid Kagezi.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Dk Slaa alisema kuwa, mkewe ametoa maelezo hayo...
9 years ago
Raia Mwema10 Sep
Gwajima alivyopenya kwa mke wa Dk. Slaa
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, ambaye ndiye kiungo (mshenga) wa kufanikisha ujio wa Edward
Mwandishi Wetu
9 years ago
Mtanzania12 Sep
Mke wa Dk. Slaa agoma kumjibu Gwajima
NA EVANS MAGEGE
MKE wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), Dk. Willibrod Slaa, Josephine Mushumbusi, ambaye amekuwa akitupiwa tuhuma nyingi za kumponza na kumsababishia aibu mume wake amesema kuwa hajaona jambo lolote lenye maudhui ya kujibu tuhuma zinazoelekezwa dhidi yake.
Kauli hiyo ya Mushumbusi imekuja siku chache baada ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima ambaye Dk. Slaa alimtaja kama mshenga wa tukio la Waziri Mkuu wa zamani,...