Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIDE ALA BATA CHINA!

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
GOOD time! Ndivyo unavyoweza kusema ambapo wakati habari ya mjini ikiwa ni kuhusiana na nyumba yake kupigwa mnada, staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ yupo bize jijini Hong Kong, China akila bata, Ijumaa Wikienda linakupa mchapo. Staa wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’. Mwishoni mwa wiki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MKE WA D.K SLAA ALA BATA U.S.A

Josephine Mushumbusi, mke wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Peter Slaa anadaiwa kula bata za hatari nchini Marekani (United States of Amerika au U.S.A) akiwa na familia yake, Amani limenyaka maisha yake nyuma ya pazia.  ....Soma zaidi====> http://bit.ly/1Mda6F8

 

10 years ago

Bongo5

Jino kwa Jino? Ex wa Zari ala bata na Wema South, mpambe asema ‘What goes around comes around (Picha)

Ivan Ssemwanga, aliyekuwa mume wa Zari The Bosslady na aliyezaa naye watoto watatu ameanza kurusha mashambulizi kwa adui yake namba moja, Diamond Platnumz. Kuanzia Kulia: King Lawrence, Ivan Ssemwinga na Wema Sepetu Mfanyabiashara huyo mwenye makazi yake nchini Afrika Kusini huenda akalipiza kisasi kwa Diamond anayetarajia kupata mtoto wake wa kwanza kutoka kwa Zari kwa […]

 

10 years ago

Michuzi

MDAU MOSES MWANGENDE ALA NONDO BEIJINING-CHINA

Mtumishi wa Dar es salaam Institute of Technology(DIT),Bw.Moses  Mwangende Leo asubuhi ya Juni 24 apataDigrii ya pili (masters of software Engineering) katika chuo  cha Beijing Institute of Technology-China.Mtumishi wa Dar es salaam Institute of Technology (DIT),Bw. Moses  Mwangende nimesalimiana  na Prof.Liu  ni mmoja wa  wafanya kazi  wa  schools of software Engineering.

 

10 years ago

GPL

JIDE, AY LAIVU!

Stori: Andrew Carlos
KABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo   ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa ‘very close’ na mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo. Wabongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Ambwene Yessaya ‘AY’...

 

11 years ago

GPL

JIDE AOMBA TALAKA

Stori:  Shani Ramadhan
UNAWEZA ukakataa lakini ndivyo ilivyotokea, ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteini’ na Mbongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ iliyofungwa miaka 9 iliyopita inadaiwa kuingia kidudu kufuatia mke huyo kuomba aandikiwe talaka, ni Ijumaa Wikienda pekee lenye uthubutu wa kuripoti mkasa wote. Jide akiwa na jumewe Gardner. Kwa mujibu wa chanzo...

 

9 years ago

Global Publishers

Jide ahamia Ujerumani!

jaydeeJudith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’.

Stori: Na Brighton Masalu

MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’ kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya ‘Kansela’ wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.

Katika mazungumzo yake na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi (kesho), alisema sababu zilizomfanya...

 

10 years ago

GPL

GARDNER AMKEJELI JIDE!

Gladness Mallya REVENGE! Katika kile kinachoonekana kama kejeli kwa mke wake wa zamani aliyekorofishana naye, mtangazaji maarufu Gardner G. Habash, ametundika picha kwenye akaunti yake katika mtandao wa Instagram ikimuonyesha akiwa amempakata mwanamke mjamzito. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Kh4pCJ

 

10 years ago

GPL

NDOA YA JIDE GARDNER AFUNGUKA

Na Ojuku Abraham na Gladness Mallya HABARI kubwa ya mjini hivi sasa, hasa kwenye mitandao ya kijamii ni juu ya madai mazito ya kuvunjika kwa ndoa ya selebriti wawili Bongo, staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au ‘Jide’ na mtangazaji maarufu wa Radio Times FM, Gardner G. Habash, iliyofungwa Mei 14, 2005, Ijumaa linamaliza utata. Staa wa muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura...

 

10 years ago

GPL

MCHUNGAJI AMWITA JIDE AMUOMBEE!

Imelda Mtema/Ijumaa
SIKU moja tu baada ya mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ kutupia kwenye mtandao wa Instagram, Jumanne iliyopita akisema baadhi ya watu wanamsakama kuhusu kutozaa bora auawe, mchungaji ameibuka na kumtaka staa huyo kufika kanisani kwake ili amwombee. Mwanamuziki nyota wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’. Mchungaji Overcomer Daniel wa Kanisa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani