JIDE, AY LAIVU!

Stori: Andrew Carlos KABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo  ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa ‘very close’ na mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo. Wabongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Ambwene Yessaya ‘AY’...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DAVIDO WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO

10 years ago
GPL
RIYAMA LAIVU!
11 years ago
GPL
NAY WA MITEGO LAIVU
11 years ago
GPL
REHEMA FABIAN LAIVU
10 years ago
GPL
BATULI LAIVU NA MWANAUME
10 years ago
Bongo Movies03 Sep
Riyama Anaswa Laivu!
KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika.
Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa watafunga ndoa, kwani anampenda kwa dhati mpenziwe huyo, aliyesema ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, akifanya Hip Hop.
“Yeah,...
11 years ago
GPL
JIDE AOMBA TALAKA
10 years ago
GPL
GARDNER AMKEJELI JIDE!
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Jide ahamia Ujerumani!
Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’.
Stori: Na Brighton Masalu
MOYONI nina majonzi, sina tofauti na mpofu! Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ au ‘Lady Jaydee’ kwa sasa hana makazi maalum Bongo, amehamishia makazi na shughuli zake katika ardhi ya ‘Kansela’ wa Ujerumani, Angelina Merkel kwenye Jiji la Born.
Katika mazungumzo yake na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Jumatatu ya wiki hii, Jide ambaye alidai kwa sasa yupo nchini kwa Sikukuu ya Krismasi (kesho), alisema sababu zilizomfanya...