Riyama Anaswa Laivu!
KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika.
Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa watafunga ndoa, kwani anampenda kwa dhati mpenziwe huyo, aliyesema ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, akifanya Hip Hop.
“Yeah,...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/SDhgST2Am3WKSjyltRAkvklhv2pdg*GlKDZbdKuVmBinTuOoyJR93N-52R3J7lkGwuLg520aQ8gSGMGlRJN96eDYrD3J6BQ8/RIYAMA.gif?width=650)
RIYAMA LAIVU!
KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika. Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally akiwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake. ‘Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wBi6IgNyVl*BRfC0Z83nmsTZT48BAz1-lYvizr5KdWmfJtoCVLZ1nM8Y2iGLDhegQjKZRbtFs*tZ1*5C3oGaZ1FD4JN*2zRq/MZEE.jpg?width=650)
BABU ANASWA NA DENTI GESTI LAIVU!
Stori: WAANDISHI WETU
YELEUUUWI! Ile tabia ya wazee ya kupenda dogodogo imemtokea puani mzee aliyetajwa kwa jina moja la mzee Omari, ni Ijumaa pekee lenye ubavu wa kuripoti sinema hiyo ya bure. Mzee huyo alinaswa laivu akiwa gesti na denti wa shule moja ya sekondari jijini Dar (jina la denti na shule vinahifadhiwa kimaadili).
Tukio hilo la aibu lilijiri juzikati kwenye gesti moja iliyopo maeneo ya Kawe, Dar na kusababisha...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/E9fEOxuVMyRDuIB2CoHP9O7M*FpIq7lm3scOQuQD-XhrPxYdRrOsjYGjYPfrbMItW1fb5GmHEeZyNJ7*xhxGfQcUNPdBcbQ0/STAALAIVU.jpg)
LAIVU: STAA WA FILAMU ANASWA USIKU NA MKE WA MTU!
Na Shakoor Jongo
MCHEPUKO? STAA wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu amenaswa laivu akiwa kwenye pozi tata na mke wa mtu aliyetambulika kwa jina moja la Bonita. Staa wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu Tukio hilo lilijiri nje ya Mgahawa wa Great Wall uliopo Masaki jijini Dar, usiku wa saa saba ambapo kulikuwa na tafrija ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KjzU17zlGiZaSmWxPS4uCIrw7oJzmpMv8JKPRKSQ5x**uOpU5sHv7tT87G8kIBRnSsfn7gcf-JTM-P3-cxLT-xhKiS6jjXzt/riyama.jpg)
ALIYEZAA NA RIYAMA ANASWA!
Hakuna siri ya wawili duniani! Baada ya staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally kumfichaficha mwanaume aliyezaa naye kwa muda mrefu, hatimaye jamaa huyo amenaswa. Staa wa sinema za Kibongo, Riyama Ally akiwa na mpenzi wake anayefahamika kwa jina moja la Haggy . Tukio hilo lililopigwa chabo na ‘mtu wetu’ lilijiri wikiendi iliyopita kwenye Ukumbi wa Chabruma uliopo Mabibo, Dar ambako kulikuwa na bethidei ya mtoto wa...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JnNsxgX9lA1t6uh5Nj5ZPjiFACPndiEUDXX4yQ6VSZKVA1-Ckw7da3Jdc9nedv2yI1Z*PMhxSSGuLY0dAewYxdb5A8Fosdrs/ofm.jpg)
OFM KAZINI! KIJANA ANASWA LAIVU KWA KUUNDA MTAMBO WA KUWAIBIA AZAM, ZUKU
Stori: Chande Abdallah na Deogratius mongela
Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha watu kuangalia matangazo ya televisheni ya vituo mbalimbali kwa malipo rahisi. Bw. Ali anayedaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ya kurusha matangazo ya televisheni ya vituo...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DAVIDO WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/Davido-ttt.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4hNukqhfhE32DZxEf7QQYDHUr7qVMY2nSdf*FjZEUgYJphFdmrC*TKBUcOWqhdhvoAsB0IfFsgBVbb9dstl9FaVf3RXwytdV/BACKAMANI.jpg)
JIDE, AY LAIVU!
Stori: Andrew Carlos
KABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo  ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa ‘very close’ na mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo. Wabongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Ambwene Yessaya ‘AY’...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpwbYZd5uoZUIx8pqQuV5Ywf95VXfU7XI199bjMhWTp3nJoFBDimO-*OnrIbxUHM*ADH7V*ywJE2cuF08kCM2i1h/nay.jpg?width=650)
NAY WA MITEGO LAIVU
Na Musa Mateja
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, amefungua ukurasa mpya wa skendo baada kuachia picha zake alizozipiga kihasarahara akiwa laivu na warembo katika chumba cha hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini Kenya. Nay wa Mitego akiwpozi na warembo katika chumba cha hoteli moja maarufu jijini Nairobi nchini Kenya. Mkali huyo ambaye anatamba na kibao ha Peleka Salam,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NQ48wH9Dt2SlBDYdl4nau-Dqizc5LICwQoiRHd64Lcm7nEAyG7jq006jhP4e3T5yWd4TesnYvdLSo-8bjRwpyWSQ8kbHQsDm/batuli.gif?width=650)
BATULI LAIVU NA MWANAUME
Musa mateja
DAH! Wakati mashabiki wake wakiamini si mtu wa ‘kurukaruka’ kivile, muigizaji mwenye mvuto wa aina yake Bongo Movies, Yobnesh Yussuph ‘Batuli’ amekwaa aibu baada ya picha zake zikimuonesha akiwa kimahaba chumbani na mchekeshaji Stan Bakora kuvuja, Ijumaa linakupa mchapo kamili. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1Ubl7KZ ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania