Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFM KAZINI! KIJANA ANASWA LAIVU KWA KUUNDA MTAMBO WA KUWAIBIA AZAM, ZUKU

Stori: Chande  Abdallah na Deogratius mongela
Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha watu kuangalia matangazo ya televisheni ya vituo mbalimbali kwa malipo rahisi. Bw. Ali anayedaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ya kurusha matangazo ya televisheni ya vituo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

OFM KAZINI; KAMANDA WA OFM AKIRIPOTI JINSI ALIVYOMNASA MZUNGU AKIWA NA DENTI

Mshuhudie Kamanda hatari wa OFM aliyepania kuibadilisha Tanzania, akiripoti tukio la aina yake ambapo mara hii amemnasa mzungu aliyekuwa na denti wa kidato cha tatu gesti, tena usiku wa manane! Ungana na Global TV Online kupata full stori!

 

9 years ago

GPL

OFM KAZINI...WANASWA WAKIVUNJA AMRI YA SITA SALUNI!

Wawili hao walivyokutwa wakifanya tendo hilo la aibu. Chande Abdallah na Issa Mnally DUNIANI kuna mambo! Wakati saluni za masaji (massage therapy) zikiendelea kuanzishwa kila kukicha katika Jiji la Dar kwa lengo la kutoa huduma ya kitabibu, ‘kama kawa’, kile kikosi maalum cha Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ cha Global Publishers kimevumbua mazito, twende pamoja. Ni Jumanne iliyopita, majira ya mchana wa jua kali, OFM kwa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Riyama Anaswa Laivu!

KANASWA! Staa wa filamu Bongo, Riyama Ally kwa mara ya kwanza amenaswa laivu na kijana aliyemtambulisha kama mwandani wake, akimtaja kwa jina la Idd Mwalimu Mzee, anayemzidi umri kwa miaka saba, Amani linaandika.

Sapraizi’ hiyo ilitokea saa sita mchana Jumatatu wiki hii nyumbani kwa muigizaji huyo, Mabibo jijini Dar, akiweka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa watafunga ndoa, kwani anampenda kwa dhati mpenziwe huyo, aliyesema ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, akifanya Hip Hop.

“Yeah,...

 

10 years ago

Habarileo

Watakiwa kuunda mabaraza kazini

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera.TAASISI mbalimbali za serikali ambazo hazijaunda mabaraza ya kazi katika sehemu za kazi kwa kisingizio cha kukosa fedha yametakiwa kuunda mabaraza hayo mara moja.

 

11 years ago

GPL

BABU ANASWA NA DENTI GESTI LAIVU!

Stori: WAANDISHI WETU
YELEUUUWI! Ile tabia ya wazee ya kupenda dogodogo imemtokea puani mzee aliyetajwa kwa jina moja la mzee Omari, ni Ijumaa pekee lenye ubavu wa kuripoti sinema hiyo ya bure. Mzee huyo alinaswa laivu akiwa gesti na denti wa shule moja ya sekondari jijini Dar (jina la denti na shule vinahifadhiwa kimaadili).
Tukio hilo la aibu lilijiri juzikati kwenye gesti moja iliyopo maeneo ya Kawe, Dar na kusababisha...

 

11 years ago

GPL

LAIVU: STAA WA FILAMU ANASWA USIKU NA MKE WA MTU!

Na Shakoor Jongo
MCHEPUKO? STAA wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu amenaswa laivu akiwa kwenye pozi tata na mke wa mtu aliyetambulika kwa jina moja la Bonita. Staa wa kitambo kwenye tasnia ya filamu za Kibongo, Stanley Msungu Tukio hilo lilijiri nje ya Mgahawa wa Great Wall uliopo Masaki jijini Dar, usiku wa saa saba ambapo kulikuwa na tafrija ya chakula cha usiku iliyoandaliwa na Mwenyekiti wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kutana na kijana mwenye ndoto ya kuunda chopa

Ubunifu ni kufanya jambo kwa namna tofauti na jinsi lilivyozoeleka, hivyo mtu akifanya jambo hilo linalofanana na uundaji wa kitu kinacholeta maana, mtu huyo ataitwa mbunifu.

 

11 years ago

GPL

ANGALIA KACHERO WA OFM AKITOA TAARIFA JINSI KIJANA ALIVYOFUMANIWA, AKAVISHWA KANGA, KUTEMBEZWA MITAANI

Jamaa aliyejitambulisha kwa jina la Salum Athuman (22), alijikuta akivishwa kanga na kutembezwa mitaani baada ya kwenda nyumbani kwa mwanaume mwenzake, Dastun Mkereti (26) kwa lengo la kujivinjari na mke wa mtu, Stela Ramadhan (20), akafumaniwa. GLOBAL TV ONLINE KUPITIA KWA KACHERO WA OFM INAKUPA UHONDO!

 

10 years ago

Vijimambo

DAVIDO WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO

Ikiwa bado ni asubuhi kabisa yaani wiki ya kwanza ya 2015, lakini inavyoonekana kuna mtu kagusa ‘wrong note’ kwenye gitaa la bwana David Adedeji Adeleke a.k.a Davido, hivyo ameamua kumtolea uvivu!Muimbaji huyo wa Nigeria ambaye yupo Dubai na familia kwaajili ya mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka, ametumia Twitter kutoa hasira zake kwa mtu ambaye hakumtaja kwa jina, kwa kuandika “Niggas forget who helped them So quick God don bless me I do my thing dey go keep my name out ur mouth !! WHO...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani