Watakiwa kuunda mabaraza kazini
TAASISI mbalimbali za serikali ambazo hazijaunda mabaraza ya kazi katika sehemu za kazi kwa kisingizio cha kukosa fedha yametakiwa kuunda mabaraza hayo mara moja.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JnNsxgX9lA1t6uh5Nj5ZPjiFACPndiEUDXX4yQ6VSZKVA1-Ckw7da3Jdc9nedv2yI1Z*PMhxSSGuLY0dAewYxdb5A8Fosdrs/ofm.jpg)
OFM KAZINI! KIJANA ANASWA LAIVU KWA KUUNDA MTAMBO WA KUWAIBIA AZAM, ZUKU
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Wakulima wa nyanya Iringa watakiwa kuunda vikundi
11 years ago
Tanzania Daima11 Aug
Mabaraza ya biashara yashauriwa
BARAZA la Taifa la Biashara (TNBC) limeyashauri mabaraza ya biashara ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuyatekeleza kwa vitendo mapendekezo yaliyotolewa katika kongamano la uwekezaji lililomalizika jijini Mbeya hivi karibuni....
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Sheria mabaraza ya kata zachochea uhalifu
SHERIA ya mabaraza ya kata ya mwaka 1985, imekua mwiba katika maeneo mbalimbali nchini kutokana na baadhi ya vifungu vyake kutofanyiwa marekebisho. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya wadau wameiomba...
11 years ago
Habarileo19 Dec
Sheria yaja kudhibiti mabaraza ya ardhi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, amesema katika kudhibiti na kushughulikia malalamiko dhidi ya wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi, wako kwenye mchakato wa kuandaa kanuni zitakazodhibiti utendaji wao.
11 years ago
Tanzania Daima05 Jan
Ndesamburo alia na mabaraza kukosa nguvu
MBUNGE wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, (CHADEMA) amesema mabaraza ya manispaa kushindwa kuwawajibisha watendaji wazembe kimekuwa chanzo cha kuendelea kuwepo kwa ufisadi kwenye halmashauri nyingi nchini. Ndesamburo aliyasema hayo juzi...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
‘Serikali irekebishe sheria mabaraza ya kata’
SERIKALI imeombwa kuifanya marekebisho sheria ya mabaraza ya kata ya mwaka 1985, kutokana na kuwepo kwa changamoto wakati wa kutoa usuluhishi. Akizungumza na Tanzania Daima mwishoni mwa wiki baada ya mafunzo ya sheria...
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Bajeti finyu yakwamisha ufunguaji mabaraza
SERIKALI imesema ukosefu wa bajeti ya kutosha umesababisha kushindwa kutekeleza mpango wa kufungua mabaraza ya ardhi kila kata au wilaya. Hayo yalielezwa bungeni jana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba...
10 years ago
Mwananchi12 Feb
Usuluhishi wa mgogoro wa ardhi kwenye mabaraza ya kata