Wakulima wa nyanya Iringa watakiwa kuunda vikundi
Wakulima wa nyanya mkoani Iringa, wameshauriwa kujiunga katika vikundi ili waweze kunufaika na misaada mbalimbali pamoja na mikopo kutoka katika taasisi za fedha ikiwamo benki na vicoba ili kuinua thamani ya mazao wanayozalisha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Wakulima watakiwa kujiunga na vikundi
10 years ago
Mwananchi22 Oct
Bei za mahindi, nyanya zawatesa wakulima
5 years ago
MichuziKAWAMBWA AKABIDHI PIKIPIKI KWA MADEREVA BODA NA KUWAASA WAJASIRIAMALI KUUNDA VIKUNDI
*****************************
NA MWAMVUA MWINYI,BAGAMOYO
Mbunge wa jimbo la Bagamoyo, Dkt. Shukuru Kawambwa amekabidhi pikipiki tatu kwa kikundi cha waendesha bodaboda kilichopo kitongoji cha Benki kata ya Dunda ,Huku akiwaasa wajasiriamali kutopuuzia kujiunga vikundi kwani vinasaidia kupata fursa mbalimbali kirahisi.
Pikipiki hizo ambazo zimenunuliwa kutokana na mkopo uliotolewa na halmashauri ya Bagamoyo kwa vijana, zimekabidhiwa kwa kikundi hicho kinachojulikana kwa jina la Umoja wa...
10 years ago
Habarileo03 May
Watakiwa kuunda mabaraza kazini
TAASISI mbalimbali za serikali ambazo hazijaunda mabaraza ya kazi katika sehemu za kazi kwa kisingizio cha kukosa fedha yametakiwa kuunda mabaraza hayo mara moja.
11 years ago
Habarileo20 Mar
Vikundi vya wakulima vyalipwa bilioni 8.2/-
JUMLA ya Sh bilioni 8.2 zimelipwa kwa vikundi vya wakulima, waliouza nafaka zao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA).
9 years ago
Mwananchi17 Aug
Wajasiriamali watakiwa kujiunga kwenye vikundi
11 years ago
Mwananchi24 Jan
Karatu sasa kugawa matrekta 50 kwa vikundi vya wakulima
9 years ago
Mwananchi26 Nov
‘Wakulima watakiwa kutoa ushirikiano