‘Wakulima watakiwa kutoa ushirikiano
Wakulima wa mahindi wameshauriwa kuwa na ushirikiano na maofisa ugani ili kudhibiti magonjwa na kuangamiza wadudu waharibifu katika mashamba yao.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Maofisa serikalini, wadau watakiwa kutoa ushirikiano
Na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
JAMII, maofisa wa Serikali na wadau wengine wametakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini.
Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka, ambapo alisema kuwa raia hao wa Marekani wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.
Alisema raia hao “wanatakiwa kusaidiwa kujifunza na kuzoea mila na kujifunza Kiswahili.”
Akizungumzia...
9 years ago
StarTV01 Oct
Wakazi Kagera watakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola
Wananchi mkoani Kagera wametakiwa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya dola ili kufanikisha kukamatwa kwa wahusika wa matukio ya uchomaji wa makanisa mkoani humo.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella wakati alipotembelea makanisa manne yaliyochomwa moto mwanzoni mwa wiki hii yakikamilisha idadi ya makanisa saba yaliyofanyiwa uhalifu huo ndani ya wiki mbili.
Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella akiambatana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa inaanzia...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilpw2RPHosR9pY2BLLK5zsiM620YMcBIiTpy32iISX2SQCj3JRpvL0ciFq4*ze2sAM0nVw3JxHL3jCSKTrUx59ej/Pichana2.jpg?width=650)
WANANCHI WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WATAALAM WA UTAFITI WA HALI YA UMASIKINI WA KAYA TANZANIA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sEttOvZ7IJk/VNDT1liTN0I/AAAAAAAHBS8/i2HPqANRUwA/s72-c/NBS%2B-%2B1.jpg)
WAMILIKI WA VIWANDA WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA WADADISI WA SENSA YA VIWANDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sEttOvZ7IJk/VNDT1liTN0I/AAAAAAAHBS8/i2HPqANRUwA/s1600/NBS%2B-%2B1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-EYaT0z67fvY/VNDT1g4zWxI/AAAAAAAHBTA/nhgmiW-e7JA/s1600/NBS%2B-%2B2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 Jun
Wamiliki wa viwanda watakiwa kutoa ushirikiano kwa wadadisi wanaokusanya taarifa za sensa ya viwanda nchini
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo mkoani Dodoma kuhusu maendeleo ya zoezi la Sensa ya Viwanda linalofanyika nchini. Kushoto kwake ni Idd Mruke, Meneja Takwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, mkoa wa Dodoma.
Meneja wa Takwimu za Biashara na Utalii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, ambaye ni Msimamizi wa Sensa ya Viwanda nchini akiwaelezea waandishi wa habari leo mkoani Dodoma kuhusu vigezo vilivyotumika...
10 years ago
Mwananchi20 Aug
Ushirikiano wa wizara mkombozi wa wakulima
9 years ago
StarTV10 Nov
Wana CCM watakiwa kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar Es Salaam kimewataka wananchi kuwapa ushirikiano madiwani wa chama hicho waliochaguliwa ili wawatumikie na kuwaletea maendeleo kama walivyowaahidi wakati wa Kampeni.
CCM imesema Madiwani wa chama hicho wamejipanga kutumikia wananchi wote bila kujali tofauti zao, lengo ni kubadilisha maisha ya wananchi wanyonge kwa kupata hudumu muhimu ikiwemo Elimu, Afya, Maji miundombinu ya Barabara na kuboresha upatikanaji wa ajira kwa vijana.
Juma Simba Gadaffi ni...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Wakulima watakiwa kujiunga na vikundi
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Watumishi watakiwa kufanya kazi kwa bidii, uwajibikaji na ushirikiano
Naibu Katibu Katibu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel akibadilishana mawazo na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Seth Kamuhanda aliyestaafu kwa mujibu wa sheria wakati wa hafla ya kuwaaga Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali waliomaliza muda wao wa Utumishi wa Umma. Hafla hiyo ilifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jana (Ijumaa Oktoba 9, 2015) Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akimkabidhi Cheti...