Wana CCM watakiwa kuwapa ushirikiano viongozi waliochaguliwa
Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar Es Salaam kimewataka wananchi kuwapa ushirikiano madiwani wa chama hicho waliochaguliwa ili wawatumikie na kuwaletea maendeleo kama walivyowaahidi wakati wa Kampeni.
CCM imesema Madiwani wa chama hicho wamejipanga kutumikia wananchi wote bila kujali tofauti zao, lengo ni kubadilisha maisha ya wananchi wanyonge kwa kupata hudumu muhimu ikiwemo Elimu, Afya, Maji miundombinu ya Barabara na kuboresha upatikanaji wa ajira kwa vijana.
Juma Simba Gadaffi ni...
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Xs2Chgk137I/XlFzjv8RaUI/AAAAAAALe2Q/DdW0HBephDsPsr1jYg5ssU4xKG2XsxnqwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200222-WA0160.jpg)
Njombe:CCM yazidi kuwapa mbinu za ushindi viongozi wa uenezi
![](https://1.bp.blogspot.com/-Xs2Chgk137I/XlFzjv8RaUI/AAAAAAALe2Q/DdW0HBephDsPsr1jYg5ssU4xKG2XsxnqwCLcBGAsYHQ/s320/IMG-20200222-WA0160.jpg)
Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimewaelekeza makatibu wa siasa na uenezi ngazi ya kata na wilaya zote mkoani humo, kuhakikisha wanaieleza jamii shughuli za maendeleo zinazoendelea kwenye maeneo yao ikiwa na kufuatilia utekelezaji wa Ilani ya chama.
Wito huo umetolewa na katibu wa siasa na uenezi wa chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe Ndg, Erasto Ngole alipokuyana na viongozi hao katika ofisi za chama wilaya ya Njombe,kupitia ziara ya kikazi anayoifanya...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Wana CCM watakiwa kuacha woga
MUASISI wa Chama cha Tanzania Labour (TLP), Leo Lwekamwa, ameibuka na kutoa maoni yake kuhusu muundo wa serikali tatu uliopendekezwa kwenye rasimu ya pili ya Katiba, kwa kuwataka wanachama wa...
10 years ago
Tanzania Daima04 Oct
Viongozi CCM watakiwa kusaidia vijana
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora, wametakiwa kutatua changamoto zinazowakabili wanachama wa Jumuiya ya Vijana wa chama hicho (UVCCM) kwa kuwa ni nguzo ya chama. Akizungumza kwenye...
9 years ago
StarTV13 Nov
Waajiri watakiwa kuwapa kipaumbele wasioona
Waajiri nchini wametakiwa kutambua kuwa watu wasioona wana mchango mkubwa kazini kwa vile wana uwezo mkubwa wakipewa fursa.
Mbali ya kuwa wachapakazi pia ni wabunifu hivyo waajiri hawana budi kuwapa kipaumbele.
Watu wasioona wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali kubwa ikiwa ni kuendesha maisha yao na fursa ya ajira.
Katika maadhimisho ya siku ya fimbo nyeupe Kitaifa Mkoani Tabora,Serikali inakiri kutambua changamoto walizonazo wasioona.
Maadhimisho hayo yaliyoshirikisha wasioona...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-2JzLafmXRgA/VWidrCTCEAI/AAAAAAAAusc/S3yAUvzSz2w/s72-c/LOWASA%2BKESHO.jpg)
Hii Ndiyo Shughuli ya Lowassa Kesho.. Je! Hao Wana CCM Wengine Wanaotarajia Kutangaza nia Wana Nguvu ya Kutosha?
![](http://4.bp.blogspot.com/-2JzLafmXRgA/VWidrCTCEAI/AAAAAAAAusc/S3yAUvzSz2w/s640/LOWASA%2BKESHO.jpg)
Hii ndiyo shughuli ya Lowassa kesho.. Uwanja wa Sheikh Amri Abeid utatapika kesho ...Je! Hao wana CCM wengine wanaotarajia kutangaza nia wana nguvu ya kutosha? Makongoro, Wasira, Membe, Mwigulu... Mkombozi wenu ni CHIMWAGA (NEC) tu..
10 years ago
Dewji Blog14 Jul
TPB, NEEC wasaini ushirikiano wa kuinua wana VICOBA kiuchumi
![](http://2.bp.blogspot.com/-FUgX48DVaFg/VaTjpYQrNUI/AAAAAAAAV-4/flsrXRGjUko/s640/nec_tpb_vicoba.jpg)
Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEEC), Beng’ Issa, (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Benjki ya Posta, Sabasaba Moshingi, (wa pili kulia), Rais wa VICOBA Endelevu Tanzania, Devota Likokola, (wapili kushoto), Mwanasheria wa Benki ya Posta Tanzania, Mystica Mapunda Ngongi, (wakwanza kulia), wakiwa wameshikana mikono baada ya benki hiyo kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano kati ya baraza na benki hiyo, katika kuwawezwesha wana VICOBA kiuchumi. Hafla hiyo...
9 years ago
Mwananchi26 Nov
‘Wakulima watakiwa kutoa ushirikiano
10 years ago
Dewji Blog24 Mar
Viongozi wa dini washahuriwa kuwapa muda waumini wao kuielewa Katiba Pendekezwa
![DSC04728](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC04728.jpg)