Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPB, NEEC wasaini ushirikiano wa kuinua wana VICOBA kiuchumi

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEEC), Beng’ Issa, (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Benjki ya Posta, Sabasaba Moshingi, (wa pili kulia), Rais wa VICOBA Endelevu Tanzania, Devota Likokola, (wapili kushoto), Mwanasheria wa Benki ya Posta Tanzania, Mystica Mapunda Ngongi, (wakwanza kulia), wakiwa wameshikana mikono baada ya benki hiyo kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano kati ya baraza na benki hiyo, katika kuwawezwesha wana VICOBA kiuchumi. Hafla hiyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

TPB kuiwezesha Vicoba kiuchumi

MITAJI ni changamoto kubwa inayowakabili wajasiriamali na kushindwa kukopesheka katika taasisi za fedha zenye masharti magumu. Baadhi ya masharti hayo ni mali isiyohamishika kama nyumba na kiwanja jambo ambalo wajasiriamali...

 

9 years ago

Michuzi

TPB YAZINDUA RASMI KADI YA ATM KWA KIKUNDI CHA VICOBA ENDELEVU

 Rais wa VICOBA Endelevu, Devota Likokola, (Watatu kushoto), akinyanyua juu, mfano wa ATM kadi ya Benki ya Posta Tanzania, TPB, wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo itakayotumiwa na wanachama wa VICOBA Endelevu kota nchini. Uzinduzi huo ulifanyika leo Agosti 15, 2015 kwenye bustani ya kumbukumbu ya mashujaa, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Moses Manyanta, Mwenyekiti wa Bodi wa Wadhamini ya Benki hiyo, Profesa...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF, NEEC zaingia makubaliano ya ushirikiano leo Jijini Dar

MKURUGENZI wa Shirika Hifadhi ya Jamii  (NSSF), Ramadhan Dau amewataka  madereva na wamiliki wa pikipiki za Bodaboda kuwa na utamaduni wa kurudisha mikopo wanayopata kupitia Zao ili iweze kuzungushwa kwa bodaboda wengine.
Dau ametoa rai hiyo leo wakati alipokuwa akitia saini hati ya makubaliano ya ushirikiano kati NSSF na  Baraza la Taifa  la Uwezeshaji wananchi kiuchumi (NEEC).
“Hamkufanya makosa kujiunga Saccos, kwa kuwa nina imani mtapata nafasi ya kukopeshwa na mtapata maendeleo, hivyo ni...

 

9 years ago

Dewji Blog

Baraza la Taifa la Uwezeshaji Kiuchumi (NEEC) lahitimisha mafunzo ya wiki nane ya Ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu nchini

IMG_0595

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), Bi. Beng’i Issa akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini (hawapo pichani) wakati akifunga mafunzo ya wiki nane ya ujasiriamali kwa wanafunzi hao mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.  Mafunzo hayo yaliendeshwa chini ya mpango wa Cambridge Development Initiative (CDI) ili kuimarisha mafunzo ya maswala ya ujasiriamali kwa wanafunzi wa vyuo vikuu hapa nchini.  CDI ni mpango ulioasisiwa na wanafunzi wa Chuo...

 

10 years ago

Dewji Blog

TPB yasaini ushirikiano na Benki ya Kijerumani

Germany?s Kreissparkasse Tubingen' s Chief executive officer, Dr. Christoph Gogler, (2nd ?L), presents a dummy cheque worth 2,000 Euro, to the Director General of Tanzania Postal Bank, (TPB), Sabasaba Moshingi, during a short ceremony held at TPB?s head office in Dar es Salaam yesterday. The two finance institutions have signed agreements under which, German?s Kressparkasse, will provide technical skills to improve customer service among TPB staff as the money will be used for the same. Withthem is Claus Thiele also from Germany. (Photo: Khalfan Said)

Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler, (wapili kushoto0, akimkabidhi mfano wa hundi ya euro 2,000, mkurugenzi mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatanoi Feb 12, 2015. Benki hiyo ya Kijerumani na TPB, pia wamesaini makubaliano ya ushirikiano baina yao.

Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, (Kulia), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse Tubingen, Christoph Gogler wakitia saini makubaliano ya ushirikiano baina ya taasisi hizo mbili za kifedha malao makuu ya TPB, jijini Dar es Salaam, Jumatano Feb. 11, 2015. Ujerumani itakuwa ikitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa TPB ili kuwajengea uwezo katika fani mablimbali hsusan huduma kwa wateja. Pia taasisi hiyo imeipatia TPB eURO 2,000 kwa madhumuni hayo hayo.

Mkurugenzi Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi, (Kulia), na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Kijerumani ya Kreissparkasse...

 

9 years ago

Dewji Blog

TPB yatoa zaidi ya Milioni 200 kuwawezesha wajasiriamali kiuchumi, ni mkopo nafuu

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi kwa Mkurugenzi wa Shirika la Vijana Wajasiriamali na Uwezeshaji Tanzania, (TYEEO), Ayub Gerald Luhuga, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam Desemba 23, 2015. Benki hiyo imevipatia vikundi vinane vya wajasiriamali jumla ya shilingi milioni 244,500,000/- kama mpoko nafuu ikiwa ni awamu ya kwanza ya utoaji mikopo hiyo, kufuatia makubaliano...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE VITI MAALUMU ARUSHA,NEEMA AAHIDI KUINUA VIJANA KIUCHUMI

SAM_3817
Katibu wa vijana umoja wa vijana  UVCCM wilaya ya Arusha mjini Jamali Khimji akimkabidhi fomu ya ubunge viti maalum Bi.Neema Kiusa(27)katika ofisi za umoja huo jijini Arusha, ahaidi kuinua vijana kiuchumi endapo atapata nafasi ya kuwa Mbunge wa vijana Mkoa wa Arusha(Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog). 
Mgombea ubunge kupita kundi la vijana (UVCCM) Neema Kiusa  leo amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Arusha,ambapo amesema kuwa shauku yake kubwa ni...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi waja

Mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi unaofahamika kama EPA unaotegemewa kutiwa saini baadae mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani