Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPB kuiwezesha Vicoba kiuchumi

MITAJI ni changamoto kubwa inayowakabili wajasiriamali na kushindwa kukopesheka katika taasisi za fedha zenye masharti magumu. Baadhi ya masharti hayo ni mali isiyohamishika kama nyumba na kiwanja jambo ambalo wajasiriamali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TPB, NEEC wasaini ushirikiano wa kuinua wana VICOBA kiuchumi

Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, (NEEC), Beng’ Issa, (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Benjki ya Posta, Sabasaba Moshingi, (wa pili kulia), Rais wa VICOBA Endelevu Tanzania, Devota Likokola, (wapili kushoto), Mwanasheria wa Benki ya Posta Tanzania, Mystica Mapunda Ngongi, (wakwanza kulia), wakiwa wameshikana mikono baada ya benki hiyo kutiliana saini makubaliano ya ushirikiano kati ya baraza na benki hiyo, katika kuwawezwesha wana VICOBA kiuchumi. Hafla hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

TPB YAZINDUA RASMI KADI YA ATM KWA KIKUNDI CHA VICOBA ENDELEVU

 Rais wa VICOBA Endelevu, Devota Likokola, (Watatu kushoto), akinyanyua juu, mfano wa ATM kadi ya Benki ya Posta Tanzania, TPB, wakati wa uzinduzi wa kadi hiyo itakayotumiwa na wanachama wa VICOBA Endelevu kota nchini. Uzinduzi huo ulifanyika leo Agosti 15, 2015 kwenye bustani ya kumbukumbu ya mashujaa, Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB, Moses Manyanta, Mwenyekiti wa Bodi wa Wadhamini ya Benki hiyo, Profesa...

 

9 years ago

Dewji Blog

TPB yatoa zaidi ya Milioni 200 kuwawezesha wajasiriamali kiuchumi, ni mkopo nafuu

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi kwa Mkurugenzi wa Shirika la Vijana Wajasiriamali na Uwezeshaji Tanzania, (TYEEO), Ayub Gerald Luhuga, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam Desemba 23, 2015. Benki hiyo imevipatia vikundi vinane vya wajasiriamali jumla ya shilingi milioni 244,500,000/- kama mpoko nafuu ikiwa ni awamu ya kwanza ya utoaji mikopo hiyo, kufuatia makubaliano...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA GEPF KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA VICOBA WA UYACODE KATIKA KUTOA KINGA YA HIFADHI YA JAMII KWA WANACHAMA WA VICOBA

Mratibu wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akimkaribisha mgeni rasmi wa uzinduzi wa Kana vicoba Group Bw Aloyce Ntukamazina kwa kumueleza machache kabla ya uzinduzi rasmi, aliye katikati ni meneja wa GEPF mkoa wa kinondoni Bw Mohammed Nyallo.Mratibu wa Umoja wa Vikoba wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akelezea mafanikio na matarajio ya Umoja wa Uyacode wenye jumla ya wanachama 27,000 na ofisi katika mikoa 18 ya Tanzania Bara na mmoja wa Zanzibar Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce...

 

11 years ago

Mwananchi

UNDP kuiwezesha Tume ya Uchaguzi

Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limeeleza nia ya kuisaidia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili ifanikishe matumizi ya mashine za kisasa za Biometric Voters Register (BVR) wakati wa uchaguzi mkuu ujao.

 

10 years ago

Dewji Blog

KAIRUKI: Serikali kuendelea kuiwezesha Tume Oparesheni Tokomeza

NWKS Kairuki - Tokomeza

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki (MB) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Jaji Kiongozi Mstaafu Hamis Amir Msumi (kushoto) na Wajumbe wengine wa Tume hiyo, Majaji Wastaafu Stephen Ihema (kulia) na Vincent Lyimo ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. (Oktoba 22, 2014).

Na Mwandishi wetu

Serikali imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza...

 

10 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kuiwezesha Tume Opresheni Tokomeza - Mh. Kairuki

Serikali imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza na hatimaye kukamilisha majukumu yake kama ilivyokusudiwa.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Angellah Jasmine Kairuki amesema hayo jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Oktoba 22, 2014) wakati akizungumza na Wajumbe wa Tume hiyo waliomtembelea ofisini kwake ili kubadilishana mawazo.
“Serikali itaendelea kuwapa ushirikiano na kuwawezesha ili mtekeleze...

 

10 years ago

Michuzi

UTAFITI WA KUIWEZESHA ZNZ KUWA NA VYANZO VYA NISHATI WAFANYWA

Na Rahma Khamis – Maelezo Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea na azma yake ya kukamilisha Mradi wa Utafiti wa Nishati mbadala ili kujuwa uwezekano wa Zanzibar kupata Umeme wake wa uhakika.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla  Shaaban katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Chukwani  wakati akitoa Hutuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2015 /2016.
Amesema Wizara yake imekamilisha kazi ya kupatikana  kwa Mkandarasi...

 

10 years ago

Vijimambo

SELCOM KUIWEZESHA MANISPAA YA MOROGORO KATIKA UKUSANYAJI WA MAPATO KWA NJIA ZA KIELEKTRONIC

Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akimkabidhi Meneja Ukuzaji Biashara na Masoko, Juma Mgori mkataba wa makubaliano ya kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato anayeshudia katikati ni Meneja miradi wa Selcom Gallus Runyeta. Makabidhiano hayo yamefanyika Morogoro Naibu Meya wa Manispaa ya Morogoro Mohamed Lukwele kushoto akionesha mkataba walio saini na kampuni ya Selcom Tanzania baada ya kutiliana saini kuanza kuendesha mfumo wa ukusanyaji wa mapato katikati ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani