Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UTAFITI WA KUIWEZESHA ZNZ KUWA NA VYANZO VYA NISHATI WAFANYWA

Na Rahma Khamis – Maelezo Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaendelea na azma yake ya kukamilisha Mradi wa Utafiti wa Nishati mbadala ili kujuwa uwezekano wa Zanzibar kupata Umeme wake wa uhakika.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Ardhi,Makazi,Maji na Nishati Ramadhan Abdalla  Shaaban katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi  Chukwani  wakati akitoa Hutuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2015 /2016.
Amesema Wizara yake imekamilisha kazi ya kupatikana  kwa Mkandarasi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Wananchi watakiwa kuwa nje ya mita 60 kutoka vyanzo vya maji vinavyopeleka Mtera

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akizungumza na wananchi katika kijiji cha Chimwenga wilaya ya Mbeya vijijini ambapo Naibu Waziri aliwaeleza wananchi hao umuhimu wa kukaa mbali na vyanzo vya maji ili kutoviharibu na kusababisha upungufu wa maji unaopelekea bwawa la uzalishaji umeme la Mtera kukauka.Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) na Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa wakiwa katika kijiji cha Makwenji wilaya ya Mbeya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Nzige: Wadudu waharibifu wafanywa kuwa kitoweo Uganda na Somalia

Raia wa Uganda wanaoishi kaskakazini mwa wilya ya Kitgum wanakula nzige wa jangwani ambao wameharibi mimea yao kulingana na kituo cha habari cha Uganda radio Nnetwork URN.

 

11 years ago

Michuzi

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MUWSA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (mwenye suti)akiwaongoza madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi kutembelea vyanzo vya maji vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing.  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira...

 

10 years ago

StarTV

Wananchi wavamia vyanzo vya maji vya Milima ya Amani Tanga.

Na Mbonea Herman,

Tanga.

 

Wakati Serikali ikiwa imepiga marufuku uvunaji wa misitu na uchimbaji wa madini kwenye vyanzo vya maji vya milima ya Amani, jitihada hizo zimeonekana kugonga mwamba baada ya shughuli hizo kuanza tena kwa kasi.

 

Shughuli za madini na uvunaji wa mbao katika milima ya Amani wilayani Muheza mkoani Tanga huenda zikasababisha ukosefu wa maji kuendelea katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo na jiji la Tanga kwa ujumla.

 

Maji ni uhai na pia ni muhimu kwa maisha ya kila...

 

10 years ago

Tanzania Daima

SWALA kuanza utafiti upatikanaji nishati

KAMPUNI ya Mafuta na Gesi ya Swala (Tanzania), imetangaza rasmi kuanza kwa mpango wake wa mwaka 2014 kuanza utafiti wa upatikanaji wa nishati ujulikanao kama 2D. Lengo la utafiti huo...

 

10 years ago

Vijimambo

KING MAJUTO KUVUNJA MBAVU VIWANJA VYA KARIAKOO ZNZ siku ya KARUME DAY, Aprili 7

11081279_10153671778293368_2618536340363672919_n (2)Na Andrew Chale wa Modewji blogMsanii mkali wa maigizo na vichekesho, Nchini, Amri Athuman a.k.a King Majuto anatarajiwa kufanya shoo maalum ya vichekesho katika viwanja vya kufurahia watoto Kariakoo, Aprili 7, mwaka huu Mjini Unguja, Zanzibar.Kwa mujibu wa wandaaji wa shoo hiyo kampuni ya Bond Entertainment Limited, kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF), walieleza kuwa gwiji huyo wa vichekesho King Majuto ambaye pia ni mkongwe anayetamba ndani na nje ya Tanzania...

 

10 years ago

Michuzi

DC MAKUNGA ATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA)

Mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA) Sharry Raymond wakati akitembelea chanzo cha maji cha Kilimanjaro.
Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Patrick Kibasa akimueleza jambo mkuu wa wilaya ya Moshi,Novatus Makunga wakati wa ziara yake ya siku moja kutembelea vyanzo vya maji vya mamlaka hiyo.
DC Makunga akisikiliza kwa makini...

 

9 years ago

StarTV

Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga

Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.

Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.

Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vyanzo vya umaskini vyabainishwa

UMASIKINI nchini umelezwa kuchangiwa na ongezeko la ukatili wa kijinsia na bajeti ya taifa kutozingatia mahitaji ya kijinsia. Hayo yalibainishwa jana na Mratibu wa Mafunzo ya Ushawishi na Utetezi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani