Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNDP kuiwezesha Tume ya Uchaguzi

Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limeeleza nia ya kuisaidia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili ifanikishe matumizi ya mashine za kisasa za Biometric Voters Register (BVR) wakati wa uchaguzi mkuu ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Serikali kuendelea kuiwezesha Tume Opresheni Tokomeza - Mh. Kairuki

Serikali imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza na hatimaye kukamilisha majukumu yake kama ilivyokusudiwa.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mheshimiwa Angellah Jasmine Kairuki amesema hayo jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Oktoba 22, 2014) wakati akizungumza na Wajumbe wa Tume hiyo waliomtembelea ofisini kwake ili kubadilishana mawazo.
“Serikali itaendelea kuwapa ushirikiano na kuwawezesha ili mtekeleze...

 

10 years ago

Dewji Blog

KAIRUKI: Serikali kuendelea kuiwezesha Tume Oparesheni Tokomeza

NWKS Kairuki - Tokomeza

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Kairuki (MB) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza Jaji Kiongozi Mstaafu Hamis Amir Msumi (kushoto) na Wajumbe wengine wa Tume hiyo, Majaji Wastaafu Stephen Ihema (kulia) na Vincent Lyimo ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana. (Oktoba 22, 2014).

Na Mwandishi wetu

Serikali imeahidi kuendelea kuiwezesha na kuipa ushirikiano Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Operesheni Tokomeza ili iendelee kutekeleza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]

The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Habarileo

UNDP kuendelea kugharimia uchaguzi mkuu

SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesema litaendelea kugharimia mradi wa Uchaguzi Mkuu kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi unafanyika katika mazingira ya amani na kuimarika kwa demokrasia.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

11 years ago

Habarileo

UNDP yatoa dola milioni 22 kwa uchaguzi mkuu

SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limetenga dola za Marekani milioni 22 kwa ajili ya kuunga mkono utoaji elimu kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini. Kiongozi wa shirika hilo, Helen Clark aliuambia Umoja wa Wanawake Wabunge leo mjini hapa kwamba fedha hizo zitatolewa chini ya Mradi wa Uchaguzi unaoendeshwa na shirika lake.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

ZEC/UNDP yaendesha Semina kwa asasi za kiraia kuhusu uchaguzi

Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar akifunga semina ya asasi za kiraia Friday, October 9, 2015 Asasi za kiraia nchini zimeshauriwa kuchukua jitihada binafsi kutoa elimu ya uraia na elimu ya wapiga kura kwa jamii […]

The post ZEC/UNDP yaendesha Semina kwa asasi za kiraia kuhusu uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani