Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNDP kuendelea kugharimia uchaguzi mkuu

SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesema litaendelea kugharimia mradi wa Uchaguzi Mkuu kwa lengo la kuhakikisha uchaguzi unafanyika katika mazingira ya amani na kuimarika kwa demokrasia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

UNDP yatoa dola milioni 22 kwa uchaguzi mkuu

SHIRIKA la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), limetenga dola za Marekani milioni 22 kwa ajili ya kuunga mkono utoaji elimu kwenye uchaguzi mkuu ujao nchini. Kiongozi wa shirika hilo, Helen Clark aliuambia Umoja wa Wanawake Wabunge leo mjini hapa kwamba fedha hizo zitatolewa chini ya Mradi wa Uchaguzi unaoendeshwa na shirika lake.

 

11 years ago

Mwananchi

UNDP kuiwezesha Tume ya Uchaguzi

Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limeeleza nia ya kuisaidia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili ifanikishe matumizi ya mashine za kisasa za Biometric Voters Register (BVR) wakati wa uchaguzi mkuu ujao.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania, Mhe. Filiberto Sebregondi, wakitia sign ya Makubaliano ya kuruhusu waangalizi wa uchaguzi kutoka […]

The post Wangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tayari wameanza kuendelea na kazi zao kuelekea uchaguzi mwezi huu oktoba 25 appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

ZEC/UNDP yaendesha Semina kwa asasi za kiraia kuhusu uchaguzi

Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar akifunga semina ya asasi za kiraia Friday, October 9, 2015 Asasi za kiraia nchini zimeshauriwa kuchukua jitihada binafsi kutoa elimu ya uraia na elimu ya wapiga kura kwa jamii […]

The post ZEC/UNDP yaendesha Semina kwa asasi za kiraia kuhusu uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA MKUU WA UNDP BIBI HELLEN CLARK

  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya ukumbusho na  na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark na ujumbe wake aliyemtembelea leo Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete akutana na Mkuu wa UNDP Bibi Hellen Clark Ikulu Jijini Dar

undp1

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea jana Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam.

undp2

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza baada ya  mazungumzo Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea jana Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam.

undp3

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya ukumbusho na  na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA UNDP DUNIANI HELEN CLARK ATEMBELEA HIFADHI YA RUAHA,APONGEZA USIMAMIZI MZURI WA MRADI WA SPANEST

Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia  akizungumza na askari  wanaopambana na majangili  hifadhi ya Taifa ya Ruaha  Iringa jana Mkuu wa UNDP Hellen Clark kulia  akiwa na watendaji wa TANAPA akiwemo mratibuMratibu wa SPANEST Bw  Godwell ole Meing'ataki wa  pili kulia na mkurugenzi wa TANAPA Allan Kijazi Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP )Hellen Clark akiwa  katika  gari  lililotolewa na UNDP.
Kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo UNDP Mhe.Hellen Clark atembelea Bungeni Dodoma

 Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo UNDP Mhe.Hellen Clark (kushoto) akikaribishwa na Spika wa Bunge Mhe.Anne Makinda mjini Dodoma baada ya kukutana na chama cha wabunge wanawake katika ukumbi wa Spika.  Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo UNDP Mhe.Hellen Clark akisaini kitabu cha wageni  Mhe.Hellen Clark (katikati) akizungumza na chama cha wabunge wanawake,kushoto kwake ni mwakilishi wa UNDP hapa nchini Ndugu Philippe Poinsot na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani