TPB yatoa zaidi ya Milioni 200 kuwawezesha wajasiriamali kiuchumi, ni mkopo nafuu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi kwa Mkurugenzi wa Shirika la Vijana Wajasiriamali na Uwezeshaji Tanzania, (TYEEO), Ayub Gerald Luhuga, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam Desemba 23, 2015. Benki hiyo imevipatia vikundi vinane vya wajasiriamali jumla ya shilingi milioni 244,500,000/- kama mpoko nafuu ikiwa ni awamu ya kwanza ya utoaji mikopo hiyo, kufuatia makubaliano...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV18 Dec
Zaidi ya Wajasiriamali 17,000 wajikwamua kiuchumi kupitia Mikopo ya Benki Ya Wanawake
Zaidi ya wanawake wajasiriamali 17,000 wamejikwamua kiuchumi kutokana na kupata mitaji kwa njia ya mikopo kutoka Benki ya wanawake ambayo imekuwa ikitoa mikopo ya viwango vya aina mbalimbali kusaidia wajasiriamali.
Benki hiyo ya wanawake ambayo imetimiza miaka 6 tangu kuanzishwa kwake imeweza kutengeneza faida kubwa kutokana na kuboresha huduma zake katika matawi mbalimbali nchini.
Benki ya wanawake Tanzania imekuwa miiongoni mwa Benki ambayo imekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa...
11 years ago
Habarileo15 Jul
Dar yatoa milioni 7/- kwa wajasiriamali
HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Idara ya Mipango Miji imetoa Sh milioni saba, kama mikopo kwa vikundi vitatu vya wajasiriamali.
5 years ago
Michuzi
KALIUA YATOA MKOPO WA MILIONI 345 KWA VIKUNDI 57 KATIKA KUSHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
HALMASHAURI ya Wilaya ya Kaliua imekabidhi mkopo wa shilingi milioni 345 kwa vikundi 57 ikiwa ni sehemu ya asilimia 10 ya mapato yake ya ndani katika mwaka wa fedha unaoendelea.
Taarifa hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Dkt. John Pima wakati wa maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo kimkoa yalifanyika jana Wilayani humo.
Alisema kati ya fedha hizo vikundi 28 vya wanawake vimepokea milioni 184, vikundi 19 vya vijana vimekopeshwa 133.5 na...
10 years ago
Dewji Blog22 Feb
SIDO Iringa yawakopesha wajasiriamali wadogo zaidi ya sh milioni 229.9
Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya.
Na Fredy Mgunda, Iringa
SHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 229.9 kwa wajasiriamali wa mkoa huo, katika kipindi cha July mpaka Desemba mwaka jana.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi, Kaimu meneja wa SIDO mkoani Iringa, Niko Mahinya alisema lengo la mkopo huo ni kuwawezesha wajasiriamali Wadogo kupata mitaji, na kuinua uchumi wao ili waondokane na...
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania yatoa TSH. Milioni 200 kudhamini Kilimanjaro Marathon 2016!
11 years ago
MichuziCRDB YATOA SOMO KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI ZAIDI YA 1000 KUHUSU KUWEKA AKIBA
Akizungumzia Tamasha hilo, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment ambao ndio waandaaji wa tamasha hilo, Naima Malima alisema kuwa lengo la semina hiyo ni kuchochea utamaduni wa kuweka akiba kwa wanawake wajasiriamali na kuwaelimisha aina tofauti ya kuweka...
11 years ago
Mwananchi13 Dec
NSSF yapongezwa kuwawezesha wajasiriamali
9 years ago
Michuzi
Benki ya NBC yazidi kuwawezesha vijana kiuchumi

10 years ago
Michuzi
NYUMBU KUENDELEA KUWAWEZESHA WANANCHI KUJIINUA KIUCHUMI

