Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF yapongezwa kuwawezesha wajasiriamali

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Batilda-Salha Buriani amepongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa harakati chanya za kuwakomboa wajasiriamali wakubwa na wadogo, waliopo nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

NSSF yapongezwa kuwakomboa wajasiriamali

BALOZI wa Tanzania nchini Kenya, Dk. Batilda Buriani, amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa harakati chanya za kuwakomboa wajasiriamali wakubwa na wadogo walio katika nchi wanachama...

 

10 years ago

Habarileo

NEEC, TIB wakubaliana kuwawezesha wajasiriamali

BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) na Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), wameingia mkataba wa kuwawezesha kwa mikopo wajasiriamali vijana wanaomaliza vyuo vikuu nchini.

 

10 years ago

Michuzi

UNESCO KUWAWEZESHA WAJASIRIAMALI JAMII YA KIMASAI NGORONGORO

Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues  (kulia) akimwelezea Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili  kushoto), namna mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa  bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro  utakavyotekelezwa juzi katika Kijiji cha Ololosokwan. Wengine ni maofisa miradi kutoka UNESCO wakishuhudia. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) akimwelezea Katibu Tawala, Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, Lemuel Kristian Kileo (wa pili kushoto), namna mradi wa ujenzi wa kituo cha sanaa ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo ya ujasiliamali wa bidhaa zinazotokana na mifugo kwa akinamama na wasichana kutoka Kata tano za Wilaya ya Ngorongoro utakavyotekelezwa juzi katika Kijiji cha Ololosokwan. Wengine ni maofisa miradi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yapongezwa kukopesha wajasiriamali

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameisifia Benki ya NMB kwa kukopesha wajasiriamali na kuwataka waendeele kutoa mikopo ili kukomboa sekta ya biashara nchini. Pinda alitoa kauli hiyo juzi alipotembelea banda la...

 

9 years ago

Dewji Blog

TPB yatoa zaidi ya Milioni 200 kuwawezesha wajasiriamali kiuchumi, ni mkopo nafuu

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, TPB, Sabasaba Moshingi, (kushoto), akikabidhi mfano wa hundi kwa Mkurugenzi wa Shirika la Vijana Wajasiriamali na Uwezeshaji Tanzania, (TYEEO), Ayub Gerald Luhuga, wakati wa hafla fupi iliyofanyika Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es Salaam Desemba 23, 2015. Benki hiyo imevipatia vikundi vinane vya wajasiriamali jumla ya shilingi milioni 244,500,000/- kama mpoko nafuu ikiwa ni awamu ya kwanza ya utoaji mikopo hiyo, kufuatia makubaliano...

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNIFU WA MITINDO AMINA PLUMMER ATOA MADA NAMNA KUJITAMBUA KWENYE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

  Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design Ambaye pia ni Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi ambayo itamuinua mwanamke wa...

 

10 years ago

Michuzi

MBUNIFU WA MITINDO AMINA PLUMMER ATOA MADA NAMNA YA KUJITAMBUA KWENYE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

   Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design  Ambaye pia ni   Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi  ambayo itamuinua mwanamke wa...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF yapongezwa kwa kuviunganisha Vyombo vya Habari nchini katika michezo

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuviunganisha vyombo vya habari anuai nchini Tanzania kupitia tasnia ya michezo. 
Dk. Mukangala ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hotuba yake iliyosomwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia kwa niaba ya waziri, alipokuwa akifunga rasmi Mashindani ya 11 ya NSSF yanayoshirikisha vyombo vya habari anuai...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NSSF kuwafikia wajasiriamali milioni 22

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limepanga kuwafikia wajasiriamali zaidi ya milioni 22 walio katika sekta isiyo rasmi, ili wajiunge na mfuko huo. Meneja wa Mafao wa shirika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani