Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF yapongezwa kuwakomboa wajasiriamali

BALOZI wa Tanzania nchini Kenya, Dk. Batilda Buriani, amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa harakati chanya za kuwakomboa wajasiriamali wakubwa na wadogo walio katika nchi wanachama...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

NSSF yapongezwa kuwawezesha wajasiriamali

Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dk Batilda-Salha Buriani amepongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa harakati chanya za kuwakomboa wajasiriamali wakubwa na wadogo, waliopo nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).

 

11 years ago

Tanzania Daima

NMB yapongezwa kukopesha wajasiriamali

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameisifia Benki ya NMB kwa kukopesha wajasiriamali na kuwataka waendeele kutoa mikopo ili kukomboa sekta ya biashara nchini. Pinda alitoa kauli hiyo juzi alipotembelea banda la...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF yapongezwa kwa kuviunganisha Vyombo vya Habari nchini katika michezo

WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala amelipongeza Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuviunganisha vyombo vya habari anuai nchini Tanzania kupitia tasnia ya michezo. 
Dk. Mukangala ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam katika hotuba yake iliyosomwa na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia kwa niaba ya waziri, alipokuwa akifunga rasmi Mashindani ya 11 ya NSSF yanayoshirikisha vyombo vya habari anuai...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA WAJASIRIAMALI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori akizungumza na Afisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kulia) na Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).Afisa Matekelezo Sekta Binafsi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Edwin Kafanabo akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa hiari uanachama wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NSSF kuwafikia wajasiriamali milioni 22

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limepanga kuwafikia wajasiriamali zaidi ya milioni 22 walio katika sekta isiyo rasmi, ili wajiunge na mfuko huo. Meneja wa Mafao wa shirika...

 

9 years ago

Mwananchi

Wajasiriamali 6,000 wasotea mikopo NSSF

Wajasiriamali ambao ni wanachama wa Vicoba mikoa ya Kilimanjaro na Arusha, wamelalamikia kucheleweshewa mikopo waliyoahidiwa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF), tangu Mei, mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI KANDA YA KATI

Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Kigoma, Josephat Komba akimuelezea Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene huduma mbalimbali zitolewazo na NSSF kwenye banda lao wakati wa maonesho ya wajasiriamali Kanda ya Kati. Banda la NSSF linavyooneka kwenye maonesho ya Wajasiriamali wa Kanda ya Kati yanayofanyika  Maofisa wa NSSF walioshiriki Kwenye Maonesho ya wajasiriamali kanda ya Kati wakiwa na Meneja wa Daktari wa NSSF akimpima Shinikizo la Damu...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF KUWAFIKIA WAJASIRIAMALI WAPYA MILIONI 22 WA SEKTA BINAFSI

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), imepanga kuwafikia wajasiriamali wapya zaidi ya milioni 22 walio katika sekta isiyo rasmi. Hayo yamesemwa na Meneja wa Mafao wa shirika hilo, James Oigo wakati wa Semina ya kukuza mitaji kwa njia ya ubia katika sekta zisizo za kibenki iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki na kuwashirikisha wadau mbalimbali. Semina hiyo ilidhaminiwa na NSSF, TPSF.
Akichangia mada katika semina hiyo, Oigo alisema kuwa NSSF inatoa mafao ya muda mrefu...

 

11 years ago

Dewji Blog

NSSF, Singida yatumia Bilioni 1.52 kukopesha vikundi sita vya wajasiriamali

meneja

Meneja wa shirika na hifadhi ya jamii NSSF, Magreth Mwaipeta akizungumza na wanachama wa kikundi cha Aminika gold Mine Ltd cha Sambaru Wilaya ya Ikungi, Singida.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.52 kwa ajili ya kuvikopesha vyama  sita vya ushirika Mkoani Singida.

Hayo yamebainishwa jana mjini hapa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Singida, Magreth Mwaipeta wakati akizungumza kwenye semina ya uhabarisho baina ya shirika la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani