Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA WAJASIRIAMALI KANDA YA KATI

Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Kigoma, Josephat Komba akimuelezea Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene huduma mbalimbali zitolewazo na NSSF kwenye banda lao wakati wa maonesho ya wajasiriamali Kanda ya Kati. Banda la NSSF linavyooneka kwenye maonesho ya Wajasiriamali wa Kanda ya Kati yanayofanyika  Maofisa wa NSSF walioshiriki Kwenye Maonesho ya wajasiriamali kanda ya Kati wakiwa na Meneja wa Daktari wa NSSF akimpima Shinikizo la Damu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Maonyesho ya SIDO kwa wajasiriamali kwa kanda ya kati kufanyika Agosti 26 hadi Septemba Mosi mwaka huu Mkoani Singida

DSC01194

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari  juu  ya kufanyika kwa maonesho ya SIDO kanda ya kati kuanzia Agosti 26 hadi septemba mosi mwaka huu mjini Singida. SIDO kanda ya kati inajumuisha mikoa ya Singida, Tabora na Kigoma.Katika maonesho hayo, bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wajasiriamali na wafanyabiashara ndogo. DSC01201 DSC01193 Baadhi ya maafisa wa  serikali na SIDO mkoani hapa wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, akitoa...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA WAJASIRIAMALI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori akizungumza na Afisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kulia) na Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu).Afisa Matekelezo Sekta Binafsi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Edwin Kafanabo akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa hiari uanachama wa...

 

9 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA ABITAT JIJINI DAR ES SALAAM

Ofisa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mselem Mwanamsoga akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Edward Sungura (kulia), wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki (Abitat), yanayoendelea katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. (Picha na Francis Dande). Baadhi ya watu wakipata huduma katika banda la NSSF. Ofisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi...

 

11 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu kiongozi katika maonyesho ya Nane nane kanda ya kati Dodoma

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisalimiana na wafanyakazi waliopo katika maonyesho ya Nane nane katika Jengo la maonyesho la Ofisi ya Rais maeneo ya Nzuguni Dodoma ambapo maonyesho haya yameadhimishwa kwa kushirikisha mikoa ya kanda ya kati.Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiangalia baadhi ya Bidhaa zinazotengenezwa na badhi ya wajasiriamali wanaonufaika na mfuko wa maendeleo ya jamii-TASAF (Tanzania Social Action Fund) ndani ya Jengo lamaonyesho la Ofisi ya Rais Nzuguni...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KITAIFA YA NANENANE LINDI

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) inashiriki kwenye maonesho ya Nananane ambayo Kitaifa yanafanyika kwenye viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi.Katika maonesho hayo ambayo yanabebwa na Kauli Mbiu ya Matokeo Makubwa Sasa: Tuchague viongozi bora kwa maendeleo ya  kilimo na ufugaji , NSSF itakuwa ikitoa huduma mbalimbali zikiwemo elimu juu ya scheme zake za Wakulima na Wavuvi, kuandikisha wanachama wapya, kutoa taarifa za michango  na kutoa elimu ya mafao mbalimbali yatolewayo na NSSF kama...

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-TANGA

 Muuguzi, Elionora Mmasi akiwapima wanachama wa NSFF waliotembelea banda lao wakati wa maonesho ya pili ya kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.

Baadhi ya watu waliofika katika banda la NSSF wakipata maelezo kutoka kwa maofisa wa Shirika hilo kuhusu Fao la Matibabu wakati wa maonesho ya pili wa kibiashara yanayofanyika mkoani Tanga.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yashiriki kwenye maonyesho ya kinamama, UN, Geneva

Wiki hii, Ubalozi ukiongozwa na Mama Balozi Rose Mero umeshiriki kwenye maonyesho ya UN ya kina mama, Geneva (United Nations Women's Guild 2014), yenye lengo la kukusanya pesa za kusaidia miradi ya kuendeleza watoto wenye mahitaji mbalimbali duniani kote.
Kwenye maonyesho hayo, banda la Tanzania lilijumuisha bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na kutengenezwa nchini Tanzania ikiwa ni pamoja na kahawa, majani ya chai, khanga, vitenge, vinyago, korosho n.k
Watu mbalimbali walipata nafasi ya...

 

10 years ago

Michuzi

DCB YASHIRIKI MAONYESHO YA KAMPUNI YA EAG GROUP

Afisa Masoko wa Benki ya DCB,Hildergard Mehrab akimpa maelekezo mteja aliyefika katika banda la DCB,kwenye maonyesho nyumba yaliyoandaliwa Kampuni ya EAG Group yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini,Dar es Salaam.Meneja Mikopo wa Benki ya DCB,Godwin Mungulu akimpa maelekezo mteja aliyefika katika banda la DCB katika maonyesho nyumba yaliyoandaliwa Kampuni ya EAG Group yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini,Dar es Salaam.Baadhi ya wananchi waliohudhulia katikla...

 

11 years ago

Dewji Blog

Makampuni 37 yashiriki maonyesho ya siku ya Malaria nchini

A

Mkurugenzi wa kampuni  ya Frontline Porter Novelli  Bi. Irene Kiwia akimkaribisha Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Suleiman Rashid kwenye maonyesho ya siku ya malaria yaliyofanyika jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki.

B

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Suleiman Rashid alipotembelea banda la malaria safe lililokuwa linasimamiwa na wafanyakazi wa Johnhopkins University kwenye maonyesho ya siku ya Malaria.

C

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk. Seif Suleiman Rashid...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani