NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA ABITAT JIJINI DAR ES SALAAM
Ofisa Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mselem Mwanamsoga akitoa maelezo kwa Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara, Edward Sungura (kulia), wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyoandaliwa na Umoja wa Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki (Abitat), yanayoendelea katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. (Picha na Francis Dande).
Baadhi ya watu wakipata huduma katika banda la NSSF.
Ofisa Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YqCGM3cGIB0/VZJoYWUmxoI/AAAAAAAHl3M/OhwBjY61ZtA/s72-c/DSC_0983.jpg)
MAONYESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM.
![](http://2.bp.blogspot.com/-YqCGM3cGIB0/VZJoYWUmxoI/AAAAAAAHl3M/OhwBjY61ZtA/s640/DSC_0983.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-o3Le99Ty2hY/VZJoakQvAFI/AAAAAAAHl3k/ohjjZ7FQ5UU/s640/DSC_0986.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ev8rRuRAHdQ/VZJoa1TpjLI/AAAAAAAHl3s/HqIFfYoRXJs/s640/DSC_1001.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-M1aMuoa0bQ4/VZJob_WH1GI/AAAAAAAHl34/KbSc1CjO7FE/s640/DSC_1004.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-H-JWJo3hoXc/VZuQKy4f_6I/AAAAAAAHneU/-ydINMsdgbw/s72-c/aa1.jpg)
AICC YASHIRIKI MAONESHO YA 39 YA KIMATAIFA YA BIASHARA YA DAR ES SALAAM (SABASABA)
11 years ago
MichuziNSSF YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIASHARA-TANGA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-fXN_c5dJraM/U7PKebR5KUI/AAAAAAAFuK0/OXMt5hIWU20/s72-c/b1.jpg)
PSPF katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam a.k.a Sabasaba
![](http://1.bp.blogspot.com/-fXN_c5dJraM/U7PKebR5KUI/AAAAAAAFuK0/OXMt5hIWU20/s1600/b1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-AlOMYXzZOFA/U7PKeWvFtOI/AAAAAAAFuKs/2i4nilh7ptQ/s1600/b2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-jFOM4_XTWWY/U7PKeX9cX8I/AAAAAAAFuKo/aXpHq5V1F_U/s1600/b3.jpg)
10 years ago
Vijimambo30 Jun
BANDA LA NSSF LAWA GUMZO MAONYESHO YA KIMATAIFA YA 39 (SABASABA) VIWANYA VYA MWALIMU NYERERE DAR ES SALAAM
![Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi. Eunice Chiume (wa kwanza kulia mbele).](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150629-WA0012.jpg)
![Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakitoa huduma katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150629-WA0014.jpg)
![Baadhi ya maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiwa katika Banda lao kwenye maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam tayari kwa kuwahudumia wateja wao.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG-20150629-WA0015.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-DoIOP816bvA/U5dzGYBF-mI/AAAAAAAFppg/J6YlJ-ijzgA/s72-c/unnamed+(62).jpg)
Watanzania Watakiwa Kuchangamka Fursa za Biashar kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam DITF
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Hospitali za Apollo kuokoa zaidi ya watu 100 katika maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam
Hospitali za Apollo zimekuwa mstari wa mbele kwa teknolojia ya hali ya juu na zinaongoza katika kutoa huduma nafuu za matibabu kwa wagonjwa duniani kote. Apollo wanashiriki kwenye Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kwa mara ya kwanza.
Hospitali za Apollo ziko hapa kutangaza huduma wanazotoa na kuongeza uelewa kuhusu Apollo. Wageni mbalimbali wanaotembelea Saba Saba wanaweza sasa kuelimishwa kuhusu huduma mbalimbali na teknolojia zinazotolewa na Hospitali za Apollo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-cwYe_A5VCIM/U_2UeA_E5JI/AAAAAAAGCmY/geYd641wFNE/s72-c/IMG-20140827-WA0001.jpg)
Rais Armando Guebuze Wa Msumbiji afungua Maonyesho Biashara ya Kimataifa Mjinj Maputo,Tanzania yashiriki vyema
![](http://4.bp.blogspot.com/-cwYe_A5VCIM/U_2UeA_E5JI/AAAAAAAGCmY/geYd641wFNE/s1600/IMG-20140827-WA0001.jpg)
10 years ago
VijimamboBOHARI YA DAWA (MSD) YASHIRIKI MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR ES SALAAM LEO