NSSF, Singida yatumia Bilioni 1.52 kukopesha vikundi sita vya wajasiriamali
Meneja wa shirika na hifadhi ya jamii NSSF, Magreth Mwaipeta akizungumza na wanachama wa kikundi cha Aminika gold Mine Ltd cha Sambaru Wilaya ya Ikungi, Singida.
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.52 kwa ajili ya kuvikopesha vyama sita vya ushirika Mkoani Singida.
Hayo yamebainishwa jana mjini hapa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Singida, Magreth Mwaipeta wakati akizungumza kwenye semina ya uhabarisho baina ya shirika la...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziSerikali kukopesha vikundi 453 vya Vijana
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
TASAF yatumia bilioni 4.2 kuzinusuru kaya masikini Singida
Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Singida, Aziza Mumba, akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja iliyoitishwa na ofisi ya Mtaribu wa TASAF mkoa, kwa ajili ya kuwajengea uwezo wadau wa mfuko huo ili waweze kufahamu vema.
Mratibu wa mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF) mkoa wa Singida,Patrick Kasango akitoa ufafanuzi juu ya misaada ya fedha ya zaidi ya shilingi 4.2 bilioni zilizotolewa kwa kaya maskini 42,218, ili kuzinusuru ziweze kupata lishe bora, huduma za afya na elimu.
Baadhi ya...
10 years ago
Dewji Blog18 Apr
World Vision Tanzania yatumia zaidi ya bilioni 5.3 kuboresha miradi ya Afya Singida
Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Saidi Alli Kamanzi na DC wa wilaya ya Singida, akifungua hafla ya makabidhiano wa mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN-MNCH). Wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Ikungi Gichulu Charles na anayefuatia ni mwakilishi wa mkurugenzi wa shirika la World vision Tanzania, Mary Lema.
Baadhi ya wadau wa afya waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN -MNCH) iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae Resort mjini...
11 years ago
Habarileo20 Mar
Vikundi vya wakulima vyalipwa bilioni 8.2/-
JUMLA ya Sh bilioni 8.2 zimelipwa kwa vikundi vya wakulima, waliouza nafaka zao kwa Wakala wa Hifadhi ya Taifa ya Chakula (NFRA).
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
SEMA wavishauri vikundi vya kuweka na kukopa (SACCOS) vya Iramba Singida kuanzisha benki yao
Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya kikundi cha kuweka na kukopa cha Tuinuane kijiji cha Kisonga wilaya ya Iramba, kumaliza mwaka kwa mafanikio. Sherehe hiyo iliyofanyikia kwenye ofisi ya kikundi hicho.
11 years ago
Habarileo12 Jul
Mfuko wa maendeleo ya vijana kukopesha vikundi 453
SERIKALI inatarajia kukopesha vikundi vya uzalishaji mali vya vijana 453 katika mwaka wa fedha 2014/15 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.
9 years ago
Dewji Blog18 Nov
Vikundi vya ushindi ‘TeamMagufuli’ Mkoani Singida vyatakiwa kujikita kwenye ujasiriamali!
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida Martin Lissu akizungumza kwenye hafla maalumu ya kuwapongeza wana-CCM waliojitolea bila malipo wakati wa uchaguzi mkuu, wakijulikana kwa jina la ‘Team Magufuli ’ na kufanikiwa kutetea majimbo saba ya CCM wakati wa uchaguzi mkuu uliomalizika Oktoba 25 mwaka huu na John Magufuli kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania .(PICHA NA HILLARY SHOO).
Na Hillary Shoo
[SINGIDA] Vikundi vilivyoanzishwa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu kwa lengo...
10 years ago
MichuziWANAWAKE WA INDIA WATEMBELEA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MKURANGA
10 years ago
Dewji Blog19 Mar
Mradi wa Mwanamke Mwezeshe wa WAMA wakopesha wanachama wa vikundi vya Hisa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo , Nachingwea
Jumla ya mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9 zimetolewa kwa wanachama wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba vilivyopo chini ya mradi wa Mwanamke Mwezeshe unaosimamiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).
Hayo yamesemwa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi vya mradi wa Mwanamke...