Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali kukopesha vikundi 453 vya Vijana

Mwenyekiti wa Kikundi cha Waendesha pikipiki Likotwa Manispaa ya Lindi, Bw. Maulid Said Mohamed (kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana, Bw. James Kajugusi  risala kuhusu kikundi hicho  hivi karibuni  Mjini Lindi. Mkurugenzi huyo alitembelea kikundi hicho ili kukagua jinsi kikundi hicho kinavyofanya kazi na jinsi kinavyonufaika na umoja huo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Lindi, Bw. Daniel Kanuse.(Picha na: Concilia Niyibitanga).======== ======= =======Serikali...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mfuko wa maendeleo ya vijana kukopesha vikundi 453

SERIKALI inatarajia kukopesha vikundi vya uzalishaji mali vya vijana 453 katika mwaka wa fedha 2014/15 kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana.

 

11 years ago

Dewji Blog

NSSF, Singida yatumia Bilioni 1.52 kukopesha vikundi sita vya wajasiriamali

meneja

Meneja wa shirika na hifadhi ya jamii NSSF, Magreth Mwaipeta akizungumza na wanachama wa kikundi cha Aminika gold Mine Ltd cha Sambaru Wilaya ya Ikungi, Singida.

Na Hillary Shoo, SINGIDA.

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umetumia zaidi ya shilingi bilioni 1.52 kwa ajili ya kuvikopesha vyama  sita vya ushirika Mkoani Singida.

Hayo yamebainishwa jana mjini hapa na Meneja wa NSSF Mkoa wa Singida, Magreth Mwaipeta wakati akizungumza kwenye semina ya uhabarisho baina ya shirika la...

 

11 years ago

Michuzi

Wizara ya Habari Vijana,Utamaduni na Michezo yakagua miradi ya vikundi vya Vijana vya Wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma

Katibu wa Kikundi cha Muungano kilichopo kijiji cha Oloboloti kata ya Mrijo Halmashauri ya Chemba Mkoani Dodoma kinachojishughulisha na mradi wa kilimo cha nyanya aliyenyoosha mikono katikati Bw Juma Ally akitoa maelezo kwa Afisa wa Idara ya Maendeleo ya Vijana wa tatu kutoka kushoto Bi Amina Sanga katika ziara ya kukagua miradi ya Vijana, ziara hiyo ni sehemu ya mafunzo yanayotolewa na Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Mfuko wa Vijana. Katibu wa Kikundi cha Umoja...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA KINONDONI AKAGUA MIRADI YA VIKUNDI VYA AKINA MAMA NA VIJANA

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wanufaika wa mkopo kwa akina mama na vijana uliotolewa kwenye Kata zote za Manispaa hiyo, Victoria Mboweto alipotembelea mradi wake wa duka la nguo, Kigogo Mbuyumi, Dar es Salaam juzi. Manispaa hiyo imetenga kiasi cha shilingi milioni 500 kwa ajili ya kukopesha vikundi vya akina mama na vijana katika Kata zake. Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akizungumza na mmoja wa wanufaika wa mkopo kwa akina mama...

 

10 years ago

Michuzi

NHC LAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MKOA WA LINDI NA MTWARA

Uhakiki wa vikundi vya vijana vilivyopewa msaada wa mashine na NHC ili kujiajiri na kusaidia wananchi kupata matofali ya kujengea nyumba bora umeanza katika Mikoa mbalimbali ukianzia na Mkoa wa Lindi na Mtwara. Katika hali isiyotarajiwa Mkoa wa Mtwara ambao kwa muda mrefu umekuwa ukililia kuletewa maendeleo umeshindwa kutumia fursa ya msaada wa mashine kwa vijana waliyopewa na NHC hali iliyolifanya Shirika kutwaa baadhi ya mashine ili zipewe vikundi vingine vinavyofanya vizuri Fuatilia...

 

10 years ago

Michuzi

Elimu ya uongozi bora yatolewa kwa viongozi wa vikundi vya vijana Kata ya Selela

Mhamasishaji kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Ester Riwa katikati akizungumza na Vijana wa Kata ya Selela (hawapo pichani) wakati wa semina ya Ujasiriamali, Ujuzi, Stadi za Maisha na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana jana katika Kata ya Selela Halmashauri ya Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha. Kushoto ni Mkuu wa Kituo cha Vijana Sasanda Mbeya Bw. Laurean Masele na kulia ni Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara hiyo Bi. Amina Sanga.Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA TEMEKE AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC)KWA VIKUNDI VYA VIJANA

3Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akipokea mashine za kufyatulia matofali kutoka kwa Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC Wilaya ya Temeke Bw. Wencenslaus Tillya ambazo zilikabidhiwa kwa vikundi vya vijana wilayani humo.4Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine kwa mwenyekiti wa kikundi cha Sokoine Youth Development William Gabriel.8Mkuu wa wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akikabidhi mashine ya kufyatulia matofali mwenyekiti wa kikundi cha Chapakazi Youth Youth...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani